How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
HONGERA WADAU WA MAFUTA.
Japo mlitupa shida kubwa sana mara tu mlipositisha huduma ya mafuta kwa wananchi,na sasa mmeanza tena baada ya kubanwa na serikali.Nawapeni hongera ila msitupe shida kama hii tena wananchi na muwe watii kwa mamlaka husika.
 
Za leo, Me ndo kwanza nimesign up 2dy! Shkamooni wakubwa. Swali langu ni kwamba, nimecheck posts nyingiii, na maswali meng ni ya msingi ila mbona mna mashushu mno jaman, au yameruhusiwa?? Plz mcnishushue
 
hivi mfanyabishara wa mafuta anapata wapi jeuri ya kuipa serikali 24? halafu hamna kauli yoyote iliyotolewa na serikali dhidi mtu huyu,usalama wa nchi unafanya kazi gani? je serikali inaogopa kujibu kauli hii? kwanini? Kuna nini kati ya serikali ya ccm na mfanyabishara huyu,naomba mnisaidie majibu.
 
Hodi JF

Vp wana JF nimejiunga rasmi. We will always communicate and share information.Please keep in touch
 
i jst nee a guider pls help it out...!!!
icon14.png
 
Hi waungwana. Niko nanyi nipate kujielimisha masuala mbalimbali yanyohusu inchi yetu na nchi za jirani. pamoja sana wadau
 
Mkuu samahani kama nita kua nje ya mada,Serikali ina mpango upi kuhusu Identity Document
 
Namnagani ya kujitoa kukatwa kupewa kifurushi cha tigo mobile intenet bila ya wewe kuhitaji?
Nipeni options.
 
Jamani naombeni mnipe maelekezo,juu ya kutumia jf maana ni siku ya nne sasa nahangaika bila mafanikio.
 
Hi team, iam still new in this website/blog. i have alot to learn from you members otherwise iam stuck. nawaomba waungwana tushirikiane pamoja kwani Jamii Forum imeleta mabadiliko mengi katika jamii nyingi hasa za kitanzania na Africa kwa ujumla. mbarikiwe sana.

Erick
 
Hivi lile fisad la lushoto, lililotuletea matatizo yote ya kuingia mikataba hewa, had sasa tunapata shida. Jaman mmemlisahau hili fisadii?????????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom