haa wapi hivi hiyo timu itaweza kwli kushindna na chadema hapo unajidanganya Lilombe yataibuka mengine mengi tu yetu macho chadema iko tayari kupambana nayo
hellow wapend wana jamii forum, napenda kuwashukuru kwa mawazo yenu na michango mingi ambayo inatusaidia katik jamii,,hasa sisi tunaojiingiza katika relation mungu awabariki sana nimejifunza mengi kupitia blog hii