How to update nokia 5800

Mozzila

Member
Oct 5, 2011
14
0
Msaanda jinsi ya kuweza update nokia 5800 kwani tangu ninunue haijawahi being updated from 2009 nikijaribu updated through phone inaonesha messange server not responding.
 
tafuta cd ilokuja na simu ya nokia mpya mpya za kuanzia 2008 zinazokuja na ovi suite eka kwenye pc yako utakuta soft inaitwa NOKIA SOFTWARE UPDATER tumia hio ku update.

Kama una bundle ya kutosha unaweza kuidownload just search google.

5800 ni symbian s60v5 unaweza kuiupdate kwenda symbian anna au symbian belle itachange na kua another phone kabisa.

Ila kumbuka na mgao huu ukiupdate software version kama hivo power ikikata katikati itaharibu simu hadi uflash
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom