W wicalumtata JF-Expert Member Joined Oct 29, 2013 Posts 329 Reaction score 113 Mar 15, 2014 #1 wanajamvi naombeni msaada nina smartphone ya zte ambayo inatumia line ya ttcl peke yake, kwaiyo na6beni mnisaidie
wanajamvi naombeni msaada nina smartphone ya zte ambayo inatumia line ya ttcl peke yake, kwaiyo na6beni mnisaidie
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Mar 15, 2014 #2 kama ni cdma hata ukii unlock hutaweza tumia voda wala tigo wala airtel. utaweza tumia zantel na pia sio line hizi za kawaida
kama ni cdma hata ukii unlock hutaweza tumia voda wala tigo wala airtel. utaweza tumia zantel na pia sio line hizi za kawaida