How to track someone's phone?


Thanks
 
Last edited by a moderator:
Mkuu asante kwa kushare nasi kile ulichonacho ila nina swali kidogo je hii njia ya pili inaweza kufanya kazi endapo nita instal kwenye simu furani nikaitumia then nikawa nimemaliza shida yangu nika uninstal sasa nikaenda kuinstal kwenye simu nyingine kwa kutumia email na password nilizotumia kwenye ile simu ya kwanza?
 
umetsha nakubal
 
braza samahan hiyo njia ya kwanza mbna con sehem ya kudownload ila ya pili iko poa sana nimeweza
 
nmejaribu ii kitu gud sana ila sio yakumuwekea mpenz wako ambae uwez kuachna nae utakuja kufa kwa presha ila msaada wa kuunistall mana nmejaribu ila bado napata taarifa kwenye email yangu
 
Hey Mayu thanx kwa info hizi.ila kwangu imekataa ila mara ya kwanzs ilikataa nikaiuninstall afu nikainstall tena ndo ikakubali.
Nikataka kujihakikishia kama imekuwa poa kabisa nikazima na kuwasha ile simu nilipoinstall nikapiga simu flan ili nione kama nitapata hiyo taarifa ila ikazingua tena.nikajaribu kuinstall upya tena kwa kufuata utaratibu wote imezingua yaan hata ile launch dial *1234* nikiipiga sipati hiyo app.
Naomba unieleweshe tatizo nini?
 
Its TRACK bitch, na sio TRUCK......shule mnajifunzaga nini?! Au ni BRN product🙄😡😡
 
Hili somo mkimaliza wakuu mje mtuletee mshindo nyuma, yaliojiri ili nasi wengine tujaribu!
 
Hii ni kwa smartphone inayotumia os yoyote au ni kwa android tuu?
 


Niliwahi kumtrack binti mmoja ambaye nlmwamini sana, siku ambayo nlimwekea hyo app kumbe kwa Jana yake alimegwa na jamaa kwa hyo hyo siku mi nlkuwa nasoma meseji za kupongezana tu.... Oooh Mara unakatika vzr, Mara nataman nkuweke ndan jumla jumla.

Kwa kifupi nliumia sana hadi nkafkia hatua ya kujuta kwa nn nlimtrack, ila pia nlfurah kwa kuwa ukweli ulijibainisha na faaster nkampga chini.

Angalizo km moyo wako Wa inzi na unajijua mahaba niue usijarbu hyo ktu, inaumiza mtima kweli kweli
 
Ukitaka kuitoa nenda Settings>Security>Phone administrator utaikuta huko then un tick
Rudi tena ukaitoe itakubali

Au kwenye website nenda settings utafute na uchague show the icon
rudi kwenye simu yako utaiona kwenye apps zako
Mkuu mi nataka kutrack laini mbili kwenye simu moja inawezekana na nifanyaje?
 
Brother Mayu nilijaribu hii kitu nikapata mafanikio tatizo sasa kabla sijaiunstall ikaanza kuleta usufumbufu kunamasage inasema Unfortunatly android process has stoped nahis massage hii imesababishwa na hii aplication kwani napotaka kuiunstall naamnibiwa sijui imekuwa aplication imekuwa admistrator.Naomba msaada wa kuitoa
 
kazi kweli kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…