Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,597
- 5,185
Msaada nani niweze kufanya tracking aisee
Hili somo mkimaliza wakuu mje mtuletee mshindo nyuma, yaliojiri ili nasi wengine tujaribu!
Mkuu Jf hatuandikagi hivi.....hujaandika chochote hapo....Mayu asante kwa elimu murua, but naona kwa upande wako elimu ya tracking imeishia hapo ikiwa na maana Technology ipo zaidi ya hapo kwa hivi sasa au kabla ya hapo.
Huyu ni mmoja wa waTZ ambaye namuheshimu sana akiwa na ujuzi yawezekana kama wako ila unachofanya kwa kutumia simu yake ndicho kimenifanya nione wewe imeishia nyuma sana.
Huyu jamaa simtaji jina amenieleza na kujaribu kitu kidogo sana, mf. Nilimaanisha namba yangu akaniambia nikueleze nini juu calls, sms, nk au kujua unachofanya wakati wote pasipo kuishika simu yangu..!!
Kwa ufupi aliniambia kuna uwezekano wa kufuatilia kila afanyacho mtu hata kuzuia simu zisitoke/kuingia ili mradi uwe na ujuzi wa simu za kisasa/smartphone, ambazo wenyewe zina mifumo (uja nazo) zaidi ya hizo tunazo_install.
Kwa sasa ni hayo .....>>>>
Asante ila najua kwa nini hukunielewa!.Mkuu Jf hatuandikagi hivi.....hujaandika chochote hapo....
Hebu ngoja,mfano mtu anajua namba yangu moja tu let say ya Voda,je kwa njia hiyo anaweza kusoma na kuona calls hata za line nyingine iwapo simu ni double line.Je,kama anaweza hata ikiwa offline anauwezo pia.Mayu asante kwa elimu murua, but naona kwa upande wako elimu ya tracking imeishia hapo ikiwa na maana Technology ipo zaidi ya hapo kwa hivi sasa au kabla ya hapo.
Huyu ni mmoja wa waTZ ambaye namuheshimu sana akiwa na ujuzi yawezekana kama wako, ila anachofanya kwa kutumia simu yake ndicho kimenifanya nione wewe umeishia nyuma sana.
Huyu jamaa simtaji jina aliniomba kujaribu kitu kidogo sana, mf. Aliniomba namba yangu akaniambia naweza kukupa details juu ya calls, sms, nk au kujua ninachofanya wakati wote pasipo kuishika simu yangu..!!
Kwa ufupi aliniambia kuna uwezekano wa kufuatilia kila afanyacho mtu hata kuzuia simu zisitoke/kuingia ili mradi uwe na ujuzi wa simu za kisasa/smartphone, ambazo zenyewe zina mifumo uliokuja nazo zaidi ya tunazo_install.
Kwa sasa ni hayo .....>>>>
Hadithi za abunuwasi hiziMayu asante kwa elimu murua, but naona kwa upande wako elimu ya tracking imeishia hapo ikiwa na maana Technology ipo zaidi ya hapo kwa hivi sasa au kabla ya hapo.
Huyu ni mmoja wa waTZ ambaye namuheshimu sana akiwa na ujuzi yawezekana kama wako, ila anachofanya kwa kutumia simu yake ndicho kimenifanya nione wewe umeishia nyuma sana.
Huyu jamaa simtaji jina aliniomba kujaribu kitu kidogo sana, mf. Aliniomba namba yangu akaniambia naweza kukupa details juu ya calls, sms, nk au kujua ninachofanya wakati wote pasipo kuishika simu yangu..!!
Kwa ufupi aliniambia kuna uwezekano wa kufuatilia kila afanyacho mtu hata kuzuia simu zisitoke/kuingia ili mradi uwe na ujuzi wa simu za kisasa/smartphone, ambazo zenyewe zina mifumo uliokuja nazo zaidi ya tunazo_install.
Kwa sasa ni hayo .....>>>>
Sasa umeandika nini, ??? We ndio ukasomeAsante ila najua kwa nini hukunielewa!.
Hebu rudi kasome tena!!
Jamaa anauliza kama na leo atapiga game au la, pole ndugu