Sasa simu ya adui yako utaipata wapi?
Hii sio maalumu kwaajili ya maadui hii ni ya watu wa karibu kama mpenzi, mwanao, rafiki yako, ambo wanauwezo wa kukuachia simu zao, adui yako atakupatia simu yake kweli?
Wewe muwekee mpenzi wako uone unavyoibiwa hahahahahahaha kisha ulete hapa mrejesho wa machozi.
Adui simu inapatikanaa tu...si tunafanyaaa ukomandoooo tu....
Kwa ajili ya mpenzi nomaaa aiseeee...sitako presure labda niweke kwa ajili ya mwanangu
Huyo mpaka akupatie simu yake basi sio adui yako.
Mwanao anamiliki smartphone? WEWE MZAZI NOMA.
Usiogope kuona madhambi ya mpenzio muwekee tu.
haaaa haaaaaaa Mwanangu nitamwekeaaa akikuwaaa
Tutakuwa tumeshatoka kwenye huo mfumo.
Anyway! poa usiku mwema mkuu kwaheri.:A S 103:
Ukitaka kuitoa nenda Settings>Security>Phone administrator utaikuta huko then un tickImeziguaa najaribu kuitoaaaa inagomaaaa....
Ukitaka kuitoa nenda Settings>Security>Phone administrator utaikuta huko then un tick
Rudi tena ukaitoe itakubali
Au kwenye website nenda settings utafute na uchague show the icon
rudi kwenye simu yako utaiona kwenye apps zako
Blakbery bold inafaaa??
Mkuu hasa hiyo ya pili ninzuri mimi ninayo muda wote kwenye kimeo changu
Hata hivyo zipo apps nzuri zaidi kwa ulinzi na usalama wa simu yako kama ikiibiwa
daaah sikupitia hapo juu bhana samahani,nimefanikiwa kuitoaa