How to track someone's phone?

Mimi nimekuelewa sana mtoa mada, na nimekuja na wazo tofauti je hiyo App naweza itumia kama ulinzi wa simu yangu, mathalini ikiibiwa au kupotea? Au ipo ambayo ni nzuri zaidi ya hiyo?
Inatakiwa uifungue kila wakati! Sasa je utaweza kuifungua kila mda? Jibu ni hapana sababu ishu ya kuibiwa sio sensitive sana kama kumfuatilia mtu
 
Adui simu inapatikanaa tu...si tunafanyaaa ukomandoooo tu....
Kwa ajili ya mpenzi nomaaa aiseeee...sitako presure labda niweke kwa ajili ya mwanangu
Sasa unataka utrack mabwana za mwanao ili iweje? Huo ndio kuingilia uhuru wamtu mfanyie upekuzi mkeo uliemlipia mahari maana ndiye mali yako umfrastruate mtoto wakazi gani?
 
We mpenzi wako yupo Dar halafu bado unamwazo kuwa una mpenzi hapo! Hebu komaa na shughuli iliyokuweka huko mkoani kama unakaa zaidi ya mwezi hamuonani jua kabisa huna demu mzee. Hata bila tracking nakuhakikishia hamtafika popote kwa aina hio ya mahusiano!
 
Mkuu nisaidie nahitaji nifanye ila Kama Ipo ya bila kushika simu yake
 
Ninachokipendea roho ya kuachana na mtu wangu ninayo sana.kama atashindwa kuacha anayofanya pale ninapomuwashia taa nyekundu basi safari yetu inakua fupi sana.nimefanya hivyo kwa karibu wasichna wanne ambao wote walijifanya wanamapenzi na bla bla nyingi.hakuna alieweza kutoka salama.toka 2016 kama sikosea mbaka juzi juzi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…