How to Trace Stolen Voda Moderm?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to Trace Stolen Voda Moderm??

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bushbaby, Apr 2, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Habari wana Jf, Nimelizwa computer na Moderm ya Vodacom, kuna jinsi yoyote ya kutrace moderm kwa kutumia IMEI au SERIAL ujue inatumika wapi? nimejaribu kupiga Voda customer care sijapata msaada wowote, nitashukuru sana kwa mawazo yenu
   
 2. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  pole sana kamanda...but kama voda wenyewe wameshindwa sidhani kama inawezekana...but heb tuckilize wataalam wetu humu kama wataweza kukusaidia.
   
 3. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi naamini inawezekaza. ngoja tuingie chimbo.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu...wiki mbili zilizo pita niliibiwa modem ya Airtel...nikaenda ofisi kwao wakasema hawawezi kui-trace...niliambulia line tu...Tanzania bado sana kwenye haya mambo ya Technology, kama tuna shindwa ku-trace kitu kama modem au simu sijui tunaweza nini...
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  sijui kisheria likaaje...nakutakia mafanikio mema
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Voda ndo wangeweza kutrack au kuidisable. Kwa kuwa imeshaibiwa hakuna la kufanya, lakini ungeinstall software ya kutrack kabla kungekuwa na chance.
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwenye simu yangu ya nokia nime-install anti-theft application ambapo naweza ku-trace simu yangu mwenyewe bila kuhusisha mtandao wa simu! Tembelea Ovi Store (www.ovi.com kama sikosei) upate hiyo kitu!
   
 8. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,973
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Mkuu pole sana! Voda wanaona wakati hiyo modem inapokuwa inatumika na pia ipo eneo gani.lakini wambie waifunge imei yake(waiblacklist) so modem aitoweza kupata network.but you have to report this IMEI kwa tigo,Airtel yaani ni usumbufu.
  Mpaka TCRA wafunge CEIR (central Equipment Identity register) ndo ingeweza kuwa raisi kwani CEIR ikiblacklist imei inakuwa ipo locked mitandao yote apa Tanzania.
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ndo maana nimesema its too late now.
   
 10. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Nimefarijika na maelezo yako, Je unayo hy software ya ku-track ili iwe msaada hpo baadae inapotokea mtu ameibiwa simu au modem? Ntashukuru kwa msaada!
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hiyo application inaweza kutumika kwenye computer?
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
Loading...