Wanakuja.Habari wadau, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuroot cm ya techno plus, najaribu kuinstall programme ya hi font lkn inataka nifanye rooting kwanza.
Natanguliza shukurani zangu kwenu watalaamu wa IT
haina sehemu ya ku-mute hiyo, labda uweke silent modeTechno k, msaada jinsi ya kumute sauti ya kamera, (kuondoa sauti wakati was kipiga picha)
Mkuu msaada namna ya ku root tecno spark k7Tembea na njia hii
utafanikiwa ukishindwa njoo PMJINSI YA KUROOT NA KUWEKA TWRP RECOVERY KWA TECNO CX ~ SmatSkills
Njia ni 1 kasoro gari tu,yaani cha muhimu ni kupata recovery lakini soma iyo ya cx afu itapata miongozoMkuu msaada namna ya ku root tecno spark k7