How to root techno spark plus

kifimbodo

Senior Member
Apr 23, 2015
151
73
Habari wadau, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuroot cm ya techno plus, najaribu kuinstall programme ya hi font lkn inataka nifanye rooting kwanza.
Natanguliza shukurani zangu kwenu watalaamu wa IT
 
Wanakuja.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom