How To Hide Porn On Your Personal Computer

dawa yake una-right click unabonyeza delete then unalitupa kwenye recycle bin halafu unafungua recycle bin unabonyeza delete permanently...........Nakuhakikishia hakuna mtu ataliona
 
Shida yote ya nini? Kwanini usitie lock wakati software la kulock zimejaa?!
 
Shida yote ya nini? Kwanini usitie lock wakati software la kulock zimejaa?!

kaka ni humor hio, ikimaanisha wa2 hawaipendi IE kiasi kwamba ukiweka folder kwa picha yake na jina 2 unaweza iweka hata desktop na isifunguliwe, get t?
 
Back
Top Bottom