How To Hide Porn On Your Personal Computer

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
3.jpg
.............
 
Labda kwa vilaza ila kwa sisi wataalamu hauwezi ficha kitu kwenye computer!! Nikifika tu nasearch *.avi or *.mkv or *.DAT or *.MOV or *.VOB or *.mpeg or *.mpg or *.m2v or *.mp4 videos zote zinakujaaaaa!!!
 
aah... Mbinu nzuri ya kuficha aina yoyote ya file ni hii
  • Mfano file ni .avi unarename kuwa .jpg
  • so change file name pamoja na extension
hapo linakuwa haliload umemaliza kazi kwani umechange format na linakuwa unreadable.
 
Mi hidding yangu nikuchange extension ...eg ****.avi nachange kuwa sheria.doc hahaha /// itaonekana ka word kumbe video file ....but what if ukicheki properties..........// only advanced people ndio wataweza jua mchezo
 
aaaah umenichekesha kweli, hiyo PC mnatumia wangapi?
Mi sina hata haja ya kuficha
 
Mi hidding yangu nikuchange extension ...eg ****.avi nachange kuwa sheria.doc hahaha /// itaonekana ka word kumbe video file ....but what if ukicheki properties..........// only advanced people ndio wataweza jua mchezo

haan haa wajanja tuna play local disk nzima, au disk yote unaitupia kwa vlc.....kila kitu kinakuwa clear kama asubuhi hata kama ni hidden files...haa haaa
 
ukibadili extension file linaonekana lakini kamwe hautajua kuwa ni video na wala hautaweza kulifungua mpaka ubadili extension
 
vlc player 11 inaplay kila file, sema ina tatizo la kukolapsi,, vlc inaangalia content siyo exe. kama vipi tupia powepoint slide yenye picha ndani, hiyo picha utaiona, au simply play local disk ya machine yako, then utaamini nachokwambia,
 
unamaanisha hata file la .avi nikarename na kulifanya ku .doc VLC Itaplay? Ngoja nijaribu
 
Mkuu kwanza pole kwa ako kaugonjwa kako kenye madhara.. Tiba ipo, nipm nikupe tiba, athari za ako kaugonjwa ni kubwa kuliko dawa za kulevya
 
njia rahisi ni kuhide hilo folder coz ukirename na kubadili icon bado mtu akisearch atapata content, uki hide hata mtu akisearch litakuwa linarukwa, njia nyingine nikuweka kwenye system folders kama C:/Windows huku kwanza sio rahisi mtu kutafuta kwenye system folders, pia hata mtu akitumia search mara nyingi system folders n files uwa yanakuwa skiped
 
Nyie mnamatatizo sa kama ninaweza kihide porn kwenye pc ya boss ....easy way nikucheza na extension na mtu hawezi ....angaika nakitu ambacho ajakitunza ooooops........... ilo ndio jibu b kuchange folder wala kuhide ni akili za beginners
 
njia rahisi ni kuhide hilo folder coz ukirename na kubadili icon bado mtu akisearch atapata content, uki hide hata mtu akisearch litakuwa linarukwa, njia nyingine nikuweka kwenye system folders kama C:/Windows huku kwanza sio rahisi mtu kutafuta kwenye system folders, pia hata mtu akitumia search mara nyingi system folders n files uwa yanakuwa skiped
mi nna 95GB ya hii mambo nimeiweka kwenye system folder ,nimeamua kurename forder kama ifuatavyo LATCHES ndani yake metric space-ionic crystals-quantum model-hormomophism-brags diffraction -then ndio unakutana na kitu chenyewe.
 
_____forder kama ifuatavyo LATCHES ndani yake metric space-ionic crystals-quantum model-hormomophism-brags diffraction -then ndio unakutana na kitu chenyewe.

hahaha.... Umeniacha hoi jembe..... ila hata ukisweka wapi... Bado kitu kinaonekana kiulainiii katika search...mi naona ni bora ukiycompress katika zip file na kuligeuza extension kuwa jar au exe na kuliname super mario.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom