How To Hide Porn On Your Personal Computer

hahaha.... Umeniacha hoi jembe..... ila hata ukisweka wapi... Bado kitu kinaonekana kiulainiii katika search...mi naona ni bora ukiycompress katika zip file na kuligeuza extension kuwa jar au exe na kuliname super mario.

aaaah aaaah kazi mnayo, ya nini kujificha ficha hivyo?
 
Watu wengine bwana,,Badala ya kufundisha watu vitu vya maana...
CLAP CLAP CLAP CLAP_ _ _ _, It is not only for PORN..! At least he has exposed some ideas. Try it other files and you will find it sounding good..
 
hahaha duh yaani hilo dude ukikosea wakati unafungua mozila fasta task manager kuliexecute kabisa. unaweza ukaweka desctop hapo na hamna m2 asizione akiyanani
 
mi nna 95GB ya hii mambo nimeiweka kwenye system folder ,nimeamua kurename forder kama ifuatavyo LATCHES ndani yake metric space-ionic crystals-quantum model-hormomophism-brags diffraction -then ndio unakutana na kitu chenyewe.

mimi nshaacha kuficha vitu, hii ni laptop yangu, most of people using my laptop wanaangalia porn, tena nimesevu mbele kwenye desktop nimeandika MALI MUPYA hilo ni folder la vitu vipya vipya...hata wadau wanajua tu utasikia vipi kuna mali mupya?
 
hiyo imekaa njema
 
mi nna 95GB ya hii mambo nimeiweka kwenye system folder ,nimeamua kurename forder kama ifuatavyo LATCHES ndani yake metric space-ionic crystals-quantum model-hormomophism-brags diffraction -then ndio unakutana na kitu chenyewe.

mkuu ntakutafta 2punguziane ma Gigs hayo ;):D
 
Mkuu kwanza pole kwa ako kaugonjwa kako kenye madhara.. Tiba ipo, nipm nikupe tiba, athari za ako kaugonjwa ni kubwa kuliko dawa za kulevya

Asee bora uwaambie mkuu..yani namshukuru sana Mungu kwa kuacha hii addiction ya porn..ni utumwa mbaya sana..ni zaidi ya pombe na sigara..yani inakufanya unakuwa pathetic hata kwa mademu..
 
hii kali kweli thanks sana Boflo kufile za muhimu sana ntazibadili..
 
Last edited by a moderator:
option rahisi kuliko yote folder lako unalidelete then litaenda kwenye recycle bin ukitaka kuangalia unarestore
 
Back
Top Bottom