How to Handle Your Monster-in-Law

How to Handle Your Monster-in-Law

sio rahisi kibongobongo mamilicious
ni wachache watakaokuacha
cc bossylady na madale family
Hii ya wakwe kuhamia nayo ni kasheshe, nitaelewa kama mume wangu anatoka Nanjilinji, na yeye ndiyo pekee kijijini kwao ambae amesettle Dar, kuna mgonjwa kutoka kijijini kwao amekuja Ocean Road au Muhimbili kwa tiba, hao unawahudumia vizuri tu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Tips on how to live or handle Mother in law
1. If shes living with you be incharge of your home
2. Make sure she has her space and respect
3. Understand your hubby and never question his authority(Submitt to him you will win his heart)
4. Do not involve youself in their familys' disputes
5. Never complain about your hubby to any of his family member(blood is thicker than water. They can take his side)
6. Never talk bad of your mother in law to your hubby and support him fully in taking care of her.
7. Understand what kind of people they are and KEEP YOUR DISTANCE. Hizi waweza kuapply pia kwa mawifi na shemeji vichomi. Mnaruhusiwa kuongezea au kusahihisha
 
Asante sana mkuu.
 
Hehehe ati monster in law, hii mara nyingi hua inakua upande wa mwenye pesa nyingi zaidi, kama ni mama wa mke mwenye pesa zaidi yako ni kesi kubwa sana, unaonekana ka mwanaume mzima unalelewa, cha msingi ni kukaa mbali na familia zote mbili tu, completely independent na kuwasiliana nao mara moja moja tena story zinakua watoto wanaendeleaje ila sio mambo ya ndani.
 
Intoduction ya kwanza tu, wakianza kuulizia back ground yako, anza kufikiria "is this a job interview or is just a meeting?"
 
Nimecheka kidogo...monster in law halafu nikakumbuka nina shemu akisikia mama anakuja yeye anatafuta pa kwenda ilimradi tu asishinde nae. Hivi mama zetu huwa wanatisha eh maana..
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nimekumbuka kisa cha rafiki yangu alinuniwa na ma mkwe. Bi shoga alikuwa ame kneel kavaa skirt anavalisha mtoto viatu, akam flash mama mkwe (aliyekuwa amekaa karibu) na thong yake kwa bahati mbaya, mama akafikiri anafanyanyiwa visa aondoke acha anune. Bi shoga hakuongeleshwa wala kuambiwa, akasikia kutoka kwa mumewe na mawifi. Mbona aliona ndoa chungu!
 
Nimecheka kidogo...monster in law halafu nikakumbuka nina shemu akisikia mama anakuja yeye anatafuta pa kwenda ilimradi tu asishinde nae. Hivi mama zetu huwa wanatisha eh maana..
Rafiki yangu alianza masomo, iliamriwa mama mkwe aje asaidie, basi, tukitoka darasani anatafuta chakula ale, nikawa ninamshangaa wewe si uwahi nyumbani kula, ananiambia yule mama anajua kabisa mimi siwezi kula vyakula vyao, lakini ndiyo anavyopika kwakuwa mwanae anavipenda. Alibaki kuwa mgeni kwenye nyumba yake, baada ya muda nikasikia kuna dada wa kazi, jamani mama vipi, akanijibu matatatizo aliyokuwa anasababisha yalikuwa makubwa, ameshaondoka😛😛
 
Nimekumbuka kisa cha rafiki yangu alinuniwa na ma mkwe. Bi shoga alikuwa ame kneel anavalisha mtoto viatu akam flash mama mkwe (aliyekuwa amekaa karibu) na thong yake kwa bahati mbaya, mama akafikiri anafanyanyiwa visa aondoke acha anune. Bi shoga hakuongeleshwa wala kuambiwa, akasikia kutoka kwa mumewe na mawifi. Mbona aliona ndoa chungu!
Dada yangu yalimkuta, alipoolewa tu mama mkwe mgongo ulianza kuuma na hakuweza kukaa kijijini tena, sasa dada akitoka kazini akisikia tu engine ya gari inawaka, anakuja mama unakwenda wapi? Nimechoka kukaa ndani, basi wakawa wanazunguka wote, siku moja alikutana na mke wa kaka mkubwa, akamuuliza kama wanaweza kumchukua mama for a weekend, akaongeza kuwa maana sasa mama "amekuwa bettery kwenye gari yangu" Mwenzangu yule mama akaenda kumweleza mume wake, familia nzima wakaambiana. Wakigombana na mume anaanza kwanza unamwita mama yangu battery.
 
Heheh, jamani!, eti battery. Kwa usalama na amani ya familia ni vizuri kukaa mbali mbali unless kuna tatizo na anahitaji msaada wa karibu. Na kama mtu anaenda kusalimia isiwe kwa muda mrefu sana.
 
Mama anakuwa anawaza gari si amenunua mwanangu, na wewe ukienda saloona anataka na yeye akatengeneze nywele, ukienda kushona nguo na yeye pia anavitenge vyake, wewe acha tu.
 
Mh kama iyo saikologia ungekua na uhalisia na maisha au malez yakitanzania sawa lakn malez yetu n tofaut
 
Pamoja na tofauti zetu, ninachoamini ni kuwa, ukiweka kuwa hakuna kuingiliana kuanzia mwanzo mtajenga heshima, wasitegemee mengi kutoka kwako wakawa disappointed in the future.
 
Mungu aniepushie mbali na mama wakwe waswahili,ni tatizo.
Ukiondoa uswahili wewe poa unaweza kuwa tatizo. Vyema uwe tayari kujikosoa kabla ya kumtupia lawama mtu mwingine.
 
Heheh, jamani!, eti battery. Kwa usalama na amani ya familia ni vizuri kukaa mbali mbali unless kuna tatizo na anahitaji msaada wa karibu. Na kama mtu anaenda kusalimia isiwe kwa muda mrefu sana.
yass...ijapo other inlaws huwa ni vichomi mpka kwnye simu wanatafuta shari though hamuishi pamoja.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Tips on how to live or handle Mother in law
1. If shes living with you be incharge of your home
2. Make sure she has her space and respect
3. Understand your hubby and never question his authority(Submitt to him you will win his heart)
4. Do not involve youself in their familys' disputes
5. Never complain about your hubby to any of his family member(blood is thicker than water. They can take his side)
6. Never talk bad of your mother in law to your hubby and support him fully in taking care of her.
7. Understand what kind of people they are and KEEP YOUR DISTANCE. Hizi waweza kuapply pia kwa mawifi na shemeji vichomi. Mnaruhusiwa kuongezea au kusahihisha
zote ulizotaja zinajitosheleza kbisa.. asante sna
 
Anakuja kusalimia anaanza kubadilisha ratiba za nyumba, watoto wanatakiwa walale saa hii, mimi sikulea wanangu hivi..Unamwambia mama hawa ni wajukuu wako lakini ni watoto wangu mimi.
umeona ee.. watt zko anataka afnye ni watt wke aamue yy mtt ale nini avae nini akiugua anaamua yy apelekwe hospitali au asipelekwe.
 
Back
Top Bottom