najua mnavyowaza shem, lol. ni kweli kabisa.
wanasema mwanaume anaoa pale anapoona muda wakuoa umefika na mwanamke anaolewa pale mwanaume anapoamua kuoa.
Lizzykama muda wangu bado nataka kula good time na wewe unaleta za kwako kuwa muda wako wa pete umefika au muda wa ndoa kwa kweli utaingia kusiko kabisa
Hahahhaha. . .kitu plate number.kwanza karibu tenaaaaa jf! ni kweli ulisemalo lizzy, unaweza kula bata bila hiyo plate number (pete), lakini hapa nimegusa zaidi wale wenye matarajio ya kuolewa na wenzi wao na wapo kwenye relationship muda mrefu huku hamu na shauku ya ndoa inawashika wakati wenzao hawana habari. watu hao ndio wanapaswa kuset timeline na kama vipi wachape lapa wakiona hakuna dalili za cheleko. ujue kuna ambao wanahisi furaha yao itakamilika after ndoa so ni vizuri wanaodate nao wajue hilo. wanaweza wakafika miaka 50 wanasubiri tu wakati wangeweza pata wenzi wa kuwaoa.
Unajua hatari kubwa ya kuweka shinikizo kali ni wakati mwingine unaweza kumpoteza huyo umpendaye...
Wanaume wa sasa huwa wanatafuta njia mbadala na ambazo ni nyepesi nyepesi...
nimekupendaje dia mi kuna ambaye namfahamu anapete ni mwaka wa 7sasa na hajaolewa kweli pete mapambo tu
kama anakupenda na anaona umuhimu wako basi atafata taratibu zinazotakiwa kufuatwa na ataonyesha anakuthamini.
cha muhimu jamani tuwe smart ktk haya mahusiano ukijibweteka sana ukajitoa mZimamzima with no favour in return tuna create makofu yasiofutika
Tuko pamoja kwenye kuridhisha nafsi ila fikiria hivi...je ni bora uwe na mtu ambae mnaelewana, mnapendana, mnafurahiana na makwazo MINIMUM bila pete au uvae pete huku machozi hayakukauki, uso umeshuka muda wote, Kutabasamu mpaka ujilazimishe ili watu wa nje wasione huzuni yako???!.
Lizzy karibu sana na mada hii ni nzuri sana kama tunapata mawazo kama yako Husninyo hiyo issue ya time line ni majanga kwa kweli yaani bora tuu tuendelee na utaratibu huu huu ambao najipanga kivyangu kukuvisha hiyo pete ila ukiniwekea hizo time line zako kwa kweli nitakuvisha na itakaa kidoleni mwako mpaka iote sugu na ndoa hutaiona
Tukubaliane na tuwe na msimamo wa pamoja na uangalie na muda wangu mimi je niko tayari au unanilazimisha maana kuna wakati inafika unakuwa huna ujanja lazima ndoa iwepo ila kama muda wangu bado nataka kula good time na wewe unaleta za kwako kuwa muda wako wa pete umefika au muda wa ndoa kwa kweli utaingia kusiko kabisa
Aisee Husninyo hii ishu ya kuolewa sijui kuvalishwa pete is not as simple as we all wish it was. It's more complex than that.
Yani unaweza ukaipata hiyo pete na isimaanishe kwamba UNATHAMINIWA, UNAPENDWA, UNAJALIWA n.k Mwenzio anaweza akawa anataka tu housemaid who can perfoms 'EXTRA DUTIES' whenever needed na asiyedai mshahara. Utafanya kazi kama slave, utazaa na kulea weeeee mpaka uso ukushuke wakati mwenzio ambae hajavikwa pete ndio anaekula goodtime. Stress zote za jamaa uta-deal nazo wewe, uchovu wake na matatizo yote ya kifedha na kiafya yatakuhusu wewe na pete yako kidoleni.
Nnachojaribu kusema ni kwamba watu wanaoa na kuolewa kwasababu za kila aina. Vile vile watu hawaoi na kuolewa kwasababu za kila aina. Unaweza ukawa na mtu asikuvishe pete lakini akawa anakuthamini, anakujali na kukupenda zaidi ya ambae anataka kukuvalisha pete kwasababu pete sio moyo useme ndo anakuwa amekukabidhi utembee nao. Pete ni kama mkufu tu, unaweza kuvalishwa ili utumike bila kuhisi/kuona unatumika.
Jambo la muhimu ni kuomba umpate atakaekuthamini with or without the ring. Usiweke thamani kubwa kwenye pete, weka thamani kubwa kwenye matendo yake na namna alivyokuweka kwenye maisha yake. Kama ana nia ya kukupa hiyo pete atakupa tu bila hata kuiulizia au hata kuitaka. Besides, kuiomba kunapunguza ile hisia ya wewe mwanamke kuombwa uwe mke wa fulani. Acha yeye mwenyewe akupe, mwenyewe aonyeshe nia ya kukuoa usije ukawa unalazimisha.
Ila kama mtu anataka pete alimradi pete . .mwambie tu "Ebwana ehhhh..mi nshachoka kuvaa na kuonyesha 'cocktail ring' tu kila siku..nataka na ya ndoa sasa, tusichoshane bila kuweka alama kidoleni".
shansarie . . .
Hata ndoa, au tuiite harusi unaweza ukaipata na bado usiwe chochote. Binadamu tuna mengi kwenye mioyo yetu. Mwingine anaoa tu atimize jukumu lake kwenye jamii, ndio maana malalamiko toka kwa wanandoa, maugomvi, upweke na kusalitiana hakuishi.
Asikidanganye mtu . .unaweza ukawa na mume ila ukawa mpweke kuliko wenzio walio single.
mimi huwa nawashauri kaka zangu hizo gud tym wazile mpaka ziishe wakiingia kwenye ndoa watulie. kweli kuna vitu ukikurupukia kama ndoa unaweza ukavunja nywele na kucha.
good time hapo jua kwamba wewe haupo katika list yangu ya kukuoa bado nipo nipo sana na natafuta wa kunifaa na kuwa mke na so wewe upo na wengine wapo na bado hakuna wa kumvika pete ya ndoa hapoAsante Mr Rocky
Heehhehehe kwani goodtime hamuwezi kula ndoani?! Au "goodtime" ina maana ya kuonja bidhaa mpaka upate inayokufaa?!
Lizzy
Kuna watu ambao wanaish pamoja kwa amani, upendo, furaha, na kuthaminiana pasi hata kuwa wamefunga ndoa, am not advocating kwamba kufunga ndoa ni msalaba la hasha but am trying to show kwamba utu mwema ni nje ya mtu kufunga ndoa ama kuvaa pete.
Ndoa zina raha yake sana, na kuwa na ndoa ni uthibitisho kwamba kuna mtu yuko responsible juu ya yako katika kipindi chote na pia inakupa heshima as mke/mume wa mtu.
Uvaaji pete, ingawa ni alama ya kiapo cha wawili lkn pia ni urembo kwa mvaaji. Hivyo hata @husinyo anapaswa kuelewa kwamba kuna wanandoa ambao wao hawapendi kuvaa pete za ndoa na si kwasababu hawapendi ama hawaheshimu ndoa zao.
shansarie hapo umenena na muda wangu haupangiwi wala kulazimishwa na kitu chochote naamua pale ninapoona kuwa muda umefika na nahitaji kuoa masuaala ya kuniwekea muda au kuuliza uliza kila siku wakati wewe mwenyewe hapo kwenye list yangu bado ni magumu sanawanasema mwanaume anaoa pale anapoona muda wakuoa umefika na mwanamke anaolewa pale mwanaume anapoamua kuoa.
mimi bana nathamini furaha yangu na sipendi kero