Mmmmmmh kuuliza utanioa lini haiko sawa kabisa bora watafute mbinu nyingine kama vile kujua hatma ya mahusiano yenu. Huko nyuma mambo hayakua hivi twin wanawake tulikua wagumu na hata wakaka walikua wanajiheshimu sana . Akijua unajitunza walikua wanathamini sana hicho. Ngoja nikuchekeshe nimekulia eneo flani na palikua na purukushani nyingi mno . Nilipoolewa nikajikuta baada ya miaka 3 narudi kuishi eneo lile nililokulia maana ndiko alikonunua kipande cha kujenga kibanda mwenzangu. Basi tumekaa eneo hili kwa muda mrefu na familia yangu ina umaarufu flani kwa sababu ya huduma. Sasa huwa najiuliza ningekua najiachia kipindi cha usichana wangu ingekuwaje leo hii, Hivi si hata mume wangu angedharaulika manake ningekua nimepitiwa na watu kadhaaa. So ushauri wangu wadada wajitunze na wawe expensive kuwa kwao cheap sio assurance ya ring wengine ni play boys.yaani, sijui nini kimeingia.......
sitaki kusema yaliyonitokea hapa maana watu watajua mimi ni nani. but it was fun, interesting...... mpaka leo nikikumbuka nabaki kutabasamu tu. kuulizia "utanioa lini?" mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
Naitafuta movie yake sijaiona . Sina maana nataka kununua hapana natafuta ya kuazima nimecheck youtube sijaiona ngoja nimuulize BAK kama anaweza kuipata site yoyote anipachikie .ninacho, ni swala la muda tu nitakisoma. niliangalia movie yake nikaipenda sana....
ha haaa, BAK mimi ndo nampaga link za kuwatch movie online, mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! !!!!!!!!!!Naitafuta movie yake sijaiona . Sina maana nataka kununua hapana natafuta ya kuazima nimecheck youtube sijaiona ngoja nimuulize BAK kama anaweza kuipata site yoyote anipachikie .
Ni kweli kabisa twin, ni vizuri kuonekana expensive, siyo kwa kuchuna bali kwa wewe mwenyewe ulivyoMmmmmmh kuuliza utanioa lini haiko sawa kabisa bora watafute mbinu nyingine kama vile kujua hatma ya mahusiano yenu. Huko nyuma mambo hayakua hivi twin wanawake tulikua wagumu na hata wakaka walikua wanajiheshimu sana . Akijua unajitunza walikua wanathamini sana hicho. Ngoja nikuchekeshe nimekulia eneo flani na palikua na purukushani nyingi mno . Nilipoolewa nikajikuta baada ya miaka 3 narudi kuishi eneo lile nililokulia maana ndiko alikonunua kipande cha kujenga kibanda mwenzangu. Basi tumekaa eneo hili kwa muda mrefu na familia yangu ina umaarufu flani kwa sababu ya huduma. Sasa huwa najiuliza ningekua najiachia kipindi cha usichana wangu ingekuwaje leo hii, Hivi si hata mume wangu angedharaulika manake ningekua nimepitiwa na watu kadhaaa. So ushauri wangu wadada wajitunze na wawe expensive kuwa kwao cheap sio assurance ya ring wengine ni play boys.
Hahahahahahahahahahaa yaani nimecheka ngoja aje approve hili. Asante yaani umenisaidia manake ni muda mrefu nakitafutaga mpaka nikakata tamaa si unajua wapenda vya bure tena.ha haaa, <b><a rel="nofollow" href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1397" target="_blank">BAK</a></b> mimi ndo nampaga link za kuwatch movie online, mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! !!!!!!!!!!
angalia kwenye link hii hapa
[video]http://watch32.com/movies-online/think-like-a-man-1145[/video]
ha haaa, ngoja aje anitimueHahahahahahahahahahaa yaani nimecheka ngoja aje approve hili. Asante yaani umenisaidia manake ni muda mrefu nakitafutaga mpaka nikakata tamaa si unajua wapenda vya bure tena.
Nakumbuka kuna mdada alianza urafiki na kaka flani basi ilikua siku ya kwanza kukutana . Aliniambia mengi mazuri juu ya kaka yule nikamuuliza je umejiachia akasema eeeeeh manake anaonyesha kunipenda. Nikasikitika sana yaani siku moja ushajua anakupenda ikabidi nigune kwa ndani na kwa nje nikaonyesha tabasamu tu. Uhusiano ule haukulast longer ulifika mwisho after few months .Ni kweli kabisa twin, ni vizuri kuonekana expensive, siyo kwa kuchuna bali kwa wewe mwenyewe ulivyo
Nakuaminia kwa mbio hawezi kukukamataha haaa, ngoja aje anitimue
Yani usingekuwa umenimiss haki ningerudi mafichoni Mbu. . lolz
Kweli mpendwa ni janga humo humo kwenye uchumba mnakua mshafumaniana na kusameheana duuh. Sasa hapo ni muhimu sana uset standard zako .Nakipenda sana hicho kitabu,kiko realistic..
Na kuhusu setting a timeline,nadhani its best uangalie mlipotoka na mnakoelekea before making that decision maana nadhani miaka ya nyuma dating was strictly prohibitted na sasa its strictly advised so times have changed.
Ila uchumba sugu ni janga la taifa na ndio hapo timeline inakuja.
hapo ndo tunapoambiwa sisi ni wa mwaka 47 na sasa ni karne ya 21, tumepitwa na wakati.........
lakini je mdada unajisikiaje unaishi kwenye ndoa ambayo umeilazimisha kuolewa? thamani yako?.....
hapo kwenye kutafuta free maid kuna topic nyingine ya kuijadili.... kwa nini huyo aliyekuoa kakuoa wewe? ni mapenzi au aliona unafaa kuwa maid kwa hiyo akuweke ndani?
Kitu kimoja ambacho sikielewi kwa wanawake ni "usikubali mwanaume asikuchezee"
Sielewi kabisa hii makitu.
ndo maana nasema sisi "wa zamani" kuna ego ya uanamke.....Nadhani wanaona poa tu maana anachotaka ni ndoa tu. Haijalishi kaipata kwa kulazimisha, kutegesha mimba au kwa ndumba. Binafsi kwenye hili naona ni bora tuendelee kuwa 'OLD SCHOOL' ili tuendelee kujisikia ile raha ya kutakwa, kupendwa na kuhitajiwa. Sio mtu umeolewa siku mkikorofishana unarushiwa dongo "kwanza shukuru hiyo mimba..nisingekuoa wewe". Utajisikiaje kujua kwamba hukuwa chaguo lake kwasababu yoyote ile?! Inauma aisee, binafsi siwezi.
Hehehhe. .hiyo itabidi tuianzishie thread yake.
ha haaa, BAK mimi ndo nampaga link za kuwatch movie online, mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! !!!!!!!!!!
angalia kwenye link hii hapa
[video]http://watch32.com/movies-online/think-like-a-man-1145[/video]
Wakati mwingine kwenda huko ngumu rafiki hasa sisi tuliokua hatuioni nyota ya kijani . Manake walipokua wakitangaza nyota ya kijani hiyooo sisi tulikua tunaona za blue tu. Ila ni kweli kuna maraha yake ya kwenda hukooooo. Umenikumbusha mihogo ya kukaanga na juice ya ukwaju ngoja nkautafute nitengeneze. Huwa najiuliza kwanini chipsi dume ukinunua ina ladha kuliko ya kukaanga home???????Kwi kwi kwi kwi lol!!! Mie movie shurti kwenye theatre banaaaa, pembeni una mihogo ya kukaanga na juice ya ukwaju π theatre imetapika kwa watu walivyojaa....nne za usiku ππ kwenye hii link nimeangalia movie moja tu. Kuna raha yake ya kuangalia movie theatre ukilinganisha na online, na tofauti ni kubwa sana.
Mkuu ina maana usubiri tu hata 5 yrs, then aje kuambiwa you are not wife material je huoni atakua kapoteza nafac nyingi za kumpata mr right. Nafikiri time limit unajiwekea wewe haumuelezi muhusika na wakati huo huo unamsoma mwenzako ukiona haelekei basi bora kusepa.Hio ideology unaweza kuifata kama una haraka na ndoa na huna muda ya kupoteza kwa mfano umri umekwenda na unataka mwenza na unajua malengo yako, tu ijapokuwa inaweza kula kwako...
Kwa utandawazi wetu huu hakuna mtu atakaekubali kuwekewa time limit ya ndoa hapa naongelea kwa ujumla kwa wote walokuwa kwenye uhusiano...Hata hao wawestern wenyewe hawafanyi hivo mtu anapokuwa tayari kwa ndoa ana purpose kwa wakati wake!Inakuwa sio uhalisia wa mapenzi kwasababu kila kitu kinatakiwa kitendeke kwa wakati wake sio kwasababu fulani kasema kitu fulani..Ni sawa na kumwambia mtoto usipokuwa na adabu hutopata zawadi ya sikukuu its kind of childish right....
Ila kwa upande mwengine (positive side) hio time limit inaweza iwe kipimo cha kiasi gani mtu anakuhitaji na una umuhimu gani katika maisha yake.Kwasababu kama ana mapenzi ya dhati kwako hatukubali kukupoteza kirahisi bali atatekeleza hayo matakwa yako!!
Kama mtu ana nia ya dhati nawe hatokusubirisha five years lazima somewhere in between litagusiwa suala la ndoa na kama ana mipango yake mingine utamjua pia dalili ya mvua ni mawingu!!Mkuu ina maana usubiri tu hata 5 yrs, then aje kuambiwa you are not wife material je huoni atakua kapoteza nafac nyingi za kumpata mr right. Nafikiri time limit unajiwekea wewe haumuelezi muhusika na wakati huo huo unamsoma mwenzako ukiona haelekei basi bora kusepa.