Nakubaliana nawe 100% yes! timeline is very important na inakuwa ngumu pale ambapo mwanamke unamawazo makubwa
alafu yeye anakufanya kama spear,ana mtu wake au anataraji kuoa mwingine.
kwakweli inauma sana maneno yako yamenigusa sana maana nimepitia huko bt this time am not doing the same mistake,
better stay single than being with a person anakupa majeraha.
Mkianza kuweka deadlines, sisi wanaume tutaanza kuchagua wale wanaoweka deadline iliyo mbali zaidi....teh teh teh!!!
Wakati mwingine acha mambo yawe kama yalivyo sawasawa na yapasavyo kuwa...
kusema kweli kuwa single ni stress zaidi unakuwa mpweke sana ila ni afadhali kuliko kuwa na mtu pasua kichwamapenzi ya ajabu wewe, wakati huo wewe wamfanyia yale yote mema tena si ajabu huko anapopawaza na yeye amefanywa spear tu. kama kuwa single unakuwa happy basi hiyo ni best option.
Mkianza kuweka deadlines, sisi wanaume tutaanza kuchagua wale wanaoweka deadline iliyo mbali zaidi....teh teh
Lol ukiona wawekewa deadline ya 4 years au 5 jua we wakula ujana yupo wa kula uzee
Aisee Husninyo hii ishu ya kuolewa sijui kuvalishwa pete is not as simple as we all wish it was. It's more complex than that.
Yani unaweza ukaipata hiyo pete na isimaanishe kwamba UNATHAMINIWA, UNAPENDWA, UNAJALIWA n.k Mwenzio anaweza akawa anataka tu housemaid who can perfoms 'EXTRA DUTIES' whenever needed na asiyedai mshahara. Utafanya kazi kama slave, utazaa na kulea weeeee mpaka uso ukushuke wakati mwenzio ambae hajavikwa pete ndio anaekula goodtime. Stress zote za jamaa uta-deal nazo wewe, uchovu wake na matatizo yote ya kifedha na kiafya yatakuhusu wewe na pete yako kidoleni.
Nnachojaribu kusema ni kwamba watu wanaoa na kuolewa kwasababu za kila aina. Vile vile watu hawaoi na kuolewa kwasababu za kila aina. Unaweza ukawa na mtu asikuvishe pete lakini akawa anakuthamini, anakujali na kukupenda zaidi ya ambae anataka kukuvalisha pete kwasababu pete sio moyo useme ndo anakuwa amekukabidhi utembee nao. Pete ni kama mkufu tu, unaweza kuvalishwa ili utumike bila kuhisi/kuona unatumika.
Jambo la muhimu ni kuomba umpate atakaekuthamini with or without the ring. Usiweke thamani kubwa kwenye pete, weka thamani kubwa kwenye matendo yake na namna alivyokuweka kwenye maisha yake. Kama ana nia ya kukupa hiyo pete atakupa tu bila hata kuiulizia au hata kuitaka. Kuiomba kunapunguza ile hisia ya wewe mwanamke kuombwa uwe mke wa fulani. Acha yeye mwenyewe akupe, mwenyewe aonyeshe nia ya kukuoa usije ukawa unalazimisha.
Ila kama mtu anataka pete alimradi pete . .mwambie tu "Ebwana ehhhh..mi nshachoka kuvaa na kuonyesha 'cocktail ring' tu kila siku..nataka na ya ndoa sasa, tusichoshane bila kuweka alama kidoleni".
bila deadline utazeekea huko na matarajio yasitimie (kwa wenye nayo). vizuri kuelezana na mtu wako mjue ajue expectations zako na sio kubaki gizani.
kusema kweli kuwa single ni stress zaidi unakuwa mpweke sana ila ni afadhali kuliko kuwa na mtu pasua kichwa
kama vipi u give it a try, but in a smart way ili usijejuta baadae
Aisee Husninyo hii ishu ya kuolewa sijui kuvalishwa pete is not as simple as we all wish it was. It's more complex than that.
Yani unaweza ukaipata hiyo pete na isimaanishe kwamba UNATHAMINIWA, UNAPENDWA, UNAJALIWA n.k Mwenzio anaweza akawa anataka tu housemaid who can perfoms 'EXTRA DUTIES' whenever needed na asiyedai mshahara. Utafanya kazi kama slave, utazaa na kulea weeeee mpaka uso ukushuke wakati mwenzio ambae hajavikwa pete ndio anaekula goodtime. Stress zote za jamaa uta-deal nazo wewe, uchovu wake na matatizo yote ya kifedha na kiafya yatakuhusu wewe na pete yako kidoleni.
Nnachojaribu kusema ni kwamba watu wanaoa na kuolewa kwasababu za kila aina. Vile vile watu hawaoi na kuolewa kwasababu za kila aina. Unaweza ukawa na mtu asikuvishe pete lakini akawa anakuthamini, anakujali na kukupenda zaidi ya ambae anataka kukuvalisha pete kwasababu pete sio moyo useme ndo anakuwa amekukabidhi utembee nao. Pete ni kama mkufu tu, unaweza kuvalishwa ili utumike bila kuhisi/kuona unatumika.
Jambo la muhimu ni kuomba umpate atakaekuthamini with or without the ring. Usiweke thamani kubwa kwenye pete, weka thamani kubwa kwenye matendo yake na namna alivyokuweka kwenye maisha yake. Kama ana nia ya kukupa hiyo pete atakupa tu bila hata kuiulizia au hata kuitaka. Besides, kuiomba kunapunguza ile hisia ya wewe mwanamke kuombwa uwe mke wa fulani. Acha yeye mwenyewe akupe, mwenyewe aonyeshe nia ya kukuoa usije ukawa unalazimisha.