Please help.
So far, I set the ignore list on a silent mode, but the thing is....... I do not want to receive these nuisance calls at all.
Please help
lizy.
Lizy, inadepend na simu uliyokuwa nayo. Kwa mfano mi natumia samsung double line D780 ina option ya kublock number ambayo hutaki iingie.
Kinachofanyika kwa anaekupigia anaona kama simu iko busy ina search halafu inakatika lakini kwako inaingia kama miss call ambapo haiiti kabisa.
And security wise samsung wanajitahidi sana!!
Kwenye simu nyingi za Nokia kuna feature ya namna hiyo. Ukiingia katika sehemu ya 'contacts' kuna sehemu ya 'No. Screening', hapa kuna maelezo ya namna ya kuweka namba ya mtu ambaye hutaki kupokea simu yake. Ukiweka namba hiyo hapo basi simu yake ikiingia simu haitoi vibration wala mlio. Features hizi zinatofautiana kati ya Nokia moja na nyingine.
dial namba ifuatayo *35*0000# kublock. Ukitaka kuitoa ni #35*0000#.
This is according to Geoff -JF 2010
kaka hiyo screening ni kwa ajili ya msg tu...
Please help.
So far, I set the ignore list on a silent mode, but the thing is....... I do not want to receive these nuisance calls at all.
Please help
lizy.
Dawa ya watu wasumbufu ni kupokea simu zao halafu kuziacha hadi vocha ikatike, asipopata message endelea hadi aelewe
dial namba ifuatayo *35*0000# kublock. Ukitaka kuitoa ni #35*0000#.
This is according to Geoff -JF 2010
hahaha nzuri nni ku-block tu