How to block unwanted phone calls on my mobile?

Lizy niaje aisee...Naona huna hiana unatembeza senksi tu kwa kwenda mbele...hahahah
 
Lizy, inadepend na simu uliyokuwa nayo. Kwa mfano mi natumia samsung double line D780 ina option ya kublock number ambayo hutaki iingie.

Kinachofanyika kwa anaekupigia anaona kama simu iko busy ina search halafu inakatika lakini kwako inaingia kama miss call ambapo haiiti kabisa.

And security wise samsung wanajitahidi sana!!


Naomba nielekeza kwa hiyo D780 jinsi ya kublock, nimejaribu sijafanikiwa.
 
Lizy niaje aisee...Naona huna hiana unatembeza senksi tu kwa kwenda mbele...hahahah

ZionTZ,

Usizijali hizo thanks, sometimes hazimaanishi uthanks wenyewe, ukiziona we ziache tu zipite na usizifikirie sana. Some thanks in JF are just decorations kama hii nilokugongea hapa The Following User Says Thank You to ZionTZ For This Useful Post: Remove Your Thanks Lizy (Today)


Nitaeremove after sometimes :)
 
kweli kuna watu wajuaji na ving'ang'anizi ka kupe

Mbaya zaidi ni kwamba wanabeep hawapigi (cjui ndo kufulia kwenyewe?) Ingekuwa kupiga unapokea kummalizia salio lkn duh, beeper......?????

Grrrrrrm!
 
Unatumia nokia? N series? basi nitumie PM.

Asante Mapinduzi,

natumia 'Mchina' haina jina.

Ila kama una ufumbuzi wa tatizo hilo kwa wenye Nokia Nseries umwage hapa unaweza saidia wengineo kama wapo.

Asante sana
 
Asante Mapinduzi,

natumia 'Mchina' haina jina.

Ila kama una ufumbuzi wa tatizo hilo kwa wenye Nokia Nseries umwage hapa unaweza saidia wengineo kama wapo.

Asante sana

It is okay. I am sorry, I will not be helpful on your inquiry.
 
Asante Mapinduzi,

natumia 'Mchina' haina jina.

Ila kama una ufumbuzi wa tatizo hilo kwa wenye Nokia Nseries umwage hapa unaweza saidia wengineo kama wapo.

Asante sana


Nadhani itakuwa vigumu kidogo kupata ufumbuzi wa tatizo lako kama simu yako haina jina maana tutashindwa kubahatisha tuongelee simu ya aina gani...Na sikushauri sana utumie software kwenye simu yako....Take care
 
please help.

So far, i set the ignore list on a silent mode, but the thing is....... I do not want to receive these nuisance calls at all.

Please help

lizy.


tatizo la kuchuna mabuzi ndo hilo..
Lazima wawanga'nga'nie....

Dawa ni kukataa ofa tu,
kama huyo mtu humpendi.
 
tatizo la kuchuna mabuzi ndo hilo..
Lazima wawanga'nga'nie....

Dawa ni kukataa ofa tu,
kama huyo mtu humpendi.

Na vipi kama hilo buzi ndio linataka kunichuna? (So far that's not the case hapa).

Calls ninazoziongelea hazihusiani kabisa na mahusiano unayoyafikiria wewe (buzi and alike), Sivyo kabisa. Sorry.......
 
What you need to is buy Sumsang DH808 it has the rejected list.
Then dial the number, cancell before it go through there after add the number to the rejected list.
You can add as many number as possible.
If he/she continue calling, what you need to do is divert his number to voicemail machine and adjust it to a call back so that it takes all the shs in his line once he dial to you.

Please be care!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom