How to block unwanted phone calls on my mobile?

Lizy

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
412
289
Please help.

So far, I set the ignore list on a silent mode, but the thing is....... I do not want to receive these nuisance calls at all.

Please help

lizy.
 
Please help.

So far, I set the ignore list on a silent mode, but the thing is....... I do not want to receive these nuisance calls at all.

Please help

lizy.

To actually block the calls, it'd probably have to be done on the phone company's end. You can call customer service and ask about it, but they’ll probably say they can’t do anything. I’ve tried before when I was getting annoying calls from unlisted numbers, and the cellular company was no help at all.

What you might try instead is adding the unwanted numbers to your phone’s address book, and then assigning them a silent ringer. That way, you’ll still get the calls, but your phone won’t ring. If your phone doesn’t have a "silent" or "no ringtone" option, you can download this silent ringtone, but you’ll have to find a way to get it onto your phone (with a data cable or maybe by emailing it to your phone).
 
Handset yako aina gani??kuna software za kufanya hivyo.....tafuta call blocker for.....(Weka model) ya simuyako!
 
Lizy, inadepend na simu uliyokuwa nayo. Kwa mfano mi natumia samsung double line D780 ina option ya kublock number ambayo hutaki iingie.

Kinachofanyika kwa anaekupigia anaona kama simu iko busy ina search halafu inakatika lakini kwako inaingia kama miss call ambapo haiiti kabisa.

And security wise samsung wanajitahidi sana!!
 
Good answer.
Ya kwangu ni ya mchina (I'm sorry kwamba haina jina), ina sehemu ya 'BLOCK NUMBER'. Ukiingiza namba ya simu ktk hio folder basi yule anaekupigia kwa namba hiyo hawezi kukupata na wala calls zake hazitaingia kwako. Inablock hadi namba 20, imenisaidia sana kuepuka watu wasumbufu.
Simu nyingi za mchina zina hii feature.
 
Kwenye simu nyingi za Nokia kuna feature ya namna hiyo. Ukiingia katika sehemu ya 'contacts' kuna sehemu ya 'No. Screening', hapa kuna maelezo ya namna ya kuweka namba ya mtu ambaye hutaki kupokea simu yake. Ukiweka namba hiyo hapo basi simu yake ikiingia simu haitoi vibration wala mlio. Features hizi zinatofautiana kati ya Nokia moja na nyingine.
 
Kama una Blackberry smartphone hasa 9000 or 9700 BOLD dowload blacklist software inablock si tu simu bali pia ujumbe mfupi
 
dial namba ifuatayo *35*0000# kublock. Ukitaka kuitoa ni #35*0000#.
This is according to Geoff -JF 2010
 
Kwenye simu nyingi za Nokia kuna feature ya namna hiyo. Ukiingia katika sehemu ya 'contacts' kuna sehemu ya 'No. Screening', hapa kuna maelezo ya namna ya kuweka namba ya mtu ambaye hutaki kupokea simu yake. Ukiweka namba hiyo hapo basi simu yake ikiingia simu haitoi vibration wala mlio. Features hizi zinatofautiana kati ya Nokia moja na nyingine.

kaka hiyo screening ni kwa ajili ya msg tu...
 
dial namba ifuatayo *35*0000# kublock. Ukitaka kuitoa ni #35*0000#.
This is according to Geoff -JF 2010

mimi naona kublock namba haisaidii kwani mtu huyo huyo unayetaka asikupigia atatumia namba nyingine ambayo utapokea itakuwaje hapo??
 
Labda ungetupa simu unayotumia na model yake....Then tungeweza kukusaidia zaidi ila hapa naona kama kila mtu anabaatisha ila kama ungetoa hizo details nilizosema kila mmoja hapa angechangia kwenye point..
 
Please help.

So far, I set the ignore list on a silent mode, but the thing is....... I do not want to receive these nuisance calls at all.

Please help

lizy.

taja model ya cm yako ili nijue namna ya kukusaidia kwani kuna programu nyingi tu za kublok cm msg
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu, nitafanyia kazi yoye mlionishauri.

Simu yangu ni ya Mchina haina jina, zile zenye line mbili.

Asanteni sana.

lizy
 
jamani na mie naombeni yangu ni Nokia E71 not mchina tafadhari kuna masimu mengine yanaboa
 
Dawa ya watu wasumbufu ni kupokea simu zao halafu kuziacha hadi vocha ikatike, asipopata message endelea hadi aelewe
 
dial namba ifuatayo *35*0000# kublock. Ukitaka kuitoa ni #35*0000#.
This is according to Geoff -JF 2010

Tatizo hapo utakuwa umeblock simu zote na sms zote! Huyu anataka kublock baadhi ya namba.
 
Back
Top Bottom