How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

Jiulize, kabla ya maamuzi ya kununua ndege, nchi ililllkuwa na hali gani? Acheni mizengwe
 
Mihula mwisho ni miwili ile ile, ila for the sake of national development, we can give him enough time as long as it takes mpaka akamilishe miradi yake yote.
P
Natamani nicheke lkn nafsi inanikataza
 
Biashara ya ndege siyo ya kulala na kuota tu
..Rwanda wamesalimu amri kwenye biashara ya ndege.

..shirika lao la ndege halijawahi kupata faida tangu lianzishwe.

..majuzi wamechukua uamuzi wa kuuza baadhi ya hisa kwa Qatar Airways.
 
English please!
 
Mbona nyie ccm mnaongea kama hamna akili. Nani kakwambia maisha huwa yanasimama kupisha ununuzi wa ndege Kwanza? Unataka vijana wafe Kwanza kwa kukosa ajira. The man has said about increasing unemployment rate in Tanzania and yet you are uttering nonsense.
 
Kwani ukiandika kiswahili hutaeleweka?
I am responding to the EUROPEAN whose thread is in English. I want to make sure he understands my response.

Do you want me to explain what i wrote in Swahili so you understand?
 
Jana nimemsikia Mh Rais ametuambia Tetembee kifua mbele tupo vizuri.
 
Siamini kama ndege zinasaidia kuinua uchumi maana Ethiopia wana ndege nyingi sana na wamefanya mengi lakini ile nchi bado ina shida.
Kuna maeneo pesa ikielekezwa maendeleo huonekana kwa kuwa hugusa watu wa kawaida moja kwa moja kama maji,elimu,afya na nishati.
 
mda mwingine ni watu hawaelewi haya mambo yanavokwenda: its impossible kua na watalii na hauna ndege ya kuwaleta obvious

..siyo kweli.

..mbona watalii tuliopokea wakati ATC imekufa ni wengi kuliko watalii tuliopokea wakati shirika hilo likiwa na ndege zinazoruka kwenda ulaya?

..vilevile kama lengo ni kuhudumia watalii mbona kipaumbele cha ATCL ni route za India na China badala ya Europe ambako ndiyo soko letu kubwa la watalii?

..Kitakachotuletea watalii ni vivutio tulivyo navyo, jinsi tunavyovitangaza, na huduma tunazitoa kwa watalii.

..Kenya wamekuwa na shirika la ndege lakini Tz tunapokea watalii wengi kuwazidi. Tena watalii wengine wanateremka na ndege Kenya lakini wanavuka mpaka kufuata vivutio vilivyoko Tz.
 

Hizo ndege zina export nini?
 
Naomba unipe source ya list ya hivyo vituo vya afya 300 please na kama utashindwa kunipa hiyo list basi wewe utakuwa kuhani wa unafiki
Aibu kwa kujisemesha vitu usivyo vijua. Miradi ya afya , elimu ,kilimo iko juu zaidi kutekelezwa.vituo zaidi ya 300 vimejengwa kwa mkupuo, elimu vivyo hivyo. Ikila kona ujenzi tu.
 

sisi tunapokea wageni ila kwa kutumia mgongo wa mashirika mengine: hio tayar ni opprtunity: wtu wanaosomea urubani wafanye wapi kazi? na una opportunity mezan, another thing: Tanzania has received the highest revenues kutoka kwa watalii since ndege zianze operation, nmeweka post jana: tanzania ni nchi ya nne mda huu Africa kwa mapato ya watalii, yamechangiwa na direct flight to Tanzania, before lazima upitie kona kona nyingi:
 

na sjasema hicho ndo kipaumbele kikubwa cha atcl kua ni watalii, there many things including usafirishaji wa vitu mbali mbali: hii hela yote imekaa mezan imechukuliwa na watu wengine which is stupid: We need more and more of these planes, as long we have a smart leader
 
Which kinds of dream are narrating about?
 
Direct flights to Tanzania zinazofanywa na ATCL or KLM,Swiss Air,Turkish na akina emirates?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…