Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Ndege na Mbuga kipi kinaweza kutupatia fedha nyingi za kigeni? Ikiwa tuna import kuliko ku export hilo pato la fedha za kigeni zitakazoletwa na midege litakuwa na tija?Huwezi endeleea bila kuwa na kitu cha kuingiza pesa za kigeni ndani. Ndege ni moja ya biashara nzuri sana ya export inayokuingizia pesa ndani na time to market is very short.
Biashara zinazozungurushwa ndani mnazotaka ndo zitawatia watu umasikini zaidi.
Ukitaka kufahamu hilo, nenda kijijini kwenu kawape milion 100 uwafungie wafanye biashara wao kwa wao, wasitoke nje, rudi baada ya miaka 5 utakuta wamekuwa masikini zaidi, na hizo milion 100 zimepugua zaidi maana zingine zimechanika na zingine zimepotea.
Mkumbuke biashara inayofanyika humo ndani bila export hiyo si biashara bali ni service. Hii service itaenda kwa pyramid scheme na mwisho kuanguka.
Magufuli na serikali yake kununua ndege is the right approach.
Duh nawe, basi tena. Ungekuwa NYAU PASINGEKUWEPO HATA KAPANYA KAMOJAMjiandae kukimbia nchini yenu kama Waethiopia huko mbeleni.
Kwanza soma nilichoandika, uelewe, ndiyo ujibuNdege ... unapata faida kwa abiria plus direct flights zitakuza utalii..
mradi wa kila.mtz kupata elfu 10 haupo...
mama nini? Kilimo?
Subsidies ya pembejeo inamsaidiaje mwananchi? Wanabweteka wanasubiri pembejeo the next year.
Pigeni siasa mavi
Mauzo ya nje ya bidhaa za kilimo, kwa mwaka mmoja unaoishia Agosti 2019, yameporomoka kwa asilimia 55 kulinganisha na mwaka wa kabla yake.Can you back up your argument with some maths, I mean give us reliable data to support your argument.
Karibu. Ila utumie kizungu laini usituletee mibombastic yako..ama kwa faida yangu na wengine baadhi tumia kiswahili.
Pls level with me, what do you mean by words like "kibaraka" and mabeberu ?We we ni kibaraka wa Mabeberu, sisi tunasonga mbele.
Mmeamua wewe na nani MkuuKupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
P
Honesty reports za BOT zaonesha kushuka kwa agro exports.Mauzo ya nje ya bidhaa za kilimo, kwa mwaka mmoja unaoishia Agosti 2019, yameporomoka kwa asilimia 55 kulinganisha na mwaka wa kabla yake.
Si asilimia 10, si 20, si 30, si 40 si 50.
Asilimia 55.
Zaidi ya nusu. Kama tulipata sh 1000, tumeshuka mpaka sh 450 kwenye mapato haya ya kilimo
Hizi si habari za "The Economist" mseme ni za mabeberu. Hizi ni habari za ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania ya Oktoba 2019.
Sababu kubwa ni serikali kuingilia biashara ya korosho.
Kama hizi fedha zinazotumika kwenye biashara ya kamali ya ndege (biashara ya ndege ni kama kamali dunia nzima) zingewekezwa kusaidia wakulima kujenga capacity, ku add value, kubangua korosho, kuuza mpaka mafuta ya korosho, kuuza processed products instead of raw material, mapato ya kilimo yangeweza hata ku double ndani ya mwaka mmoja.
Tunaangalia mambo ya ujiko, badala ya mambo ya uchumi.
Tumekuwa kama familia masikini inayotaka kununua Benzi ili nayo ionekane ina Benzi, wakati matunzo tu ya hilo Benzi ni mgogoro, wakati kitu inachohitaji zaidi ni kununua low maintenance pick up la kufanyia biashara.
JPM ukimsikiliza anavyo condescend technocrats hadharani tu unaona ana tatizo la kujiona anajua kila kitu, hapendi kupewa ushauri, anaona kila mtu mwizi.Honesty reports za BOT zaonesha kushuka kwa agro exports.
Mara kwa mara huwa natafuta potential strategic objectives what should be done ku-boost exports huwa sizioni. Kama kuna ambae anaziona plz naomba anishirikishe.
Kama BOT ambapo kuna think tanks za uchumi wamekaa kimya au hawajawa na proposed strategies how do we boost exports that means; uwoga wao au ikimya wao ndo unatugharimu.
Am very optimistic; huyu mzee anatakiwa akae japo siku moja na innovators na creative people hasa kwenye agri-business.
Innovation ni key factor ya namna Israel, Netherlands, NewZeland, hata South Africa wanafanya vyema.
I am the guys whom am crying for innovation kwenye Agro ambayo ina short term; mid term na long term.
It took one day for Pharaoh to get a right Joseph who help him to make Egyptian a food basket for middle East.
JPM anahitaji such a brain. Kwa hela za humu ndani; he can accomplish a lot
Nchi isiyomiliki usafiri wa anga ni sawa na Nchi iliyokufa kiuchumi
Tusubiri matokeo yakeSafi sana bro maelezo yako yame nyooka[emoji106]
Tanzania is a country in East Africa with a population of over 50 million people and per capita income of just about 1000 USD. The country has one of the fastest growing graduates unemployment in the region with a very high dependent ratio and rapid population increase.
For the past few years the country has undergone tremendous change in the areas of infrastructure,human rights democracy,freedom as well as inflation.The inflation especially in food crops is rising steadily while the incomes of majority of the population is shrinking due to unemployment and low wages.
Despite all these Tanzania has invested heavily in infrastructure projects including the construction of the SGR, A Hydro Power Project as well the purchase of brand new aircraft to revamp the national career Air Tanzania.
The recent purchase of aircrafts which included a dream liner (Boeing 787-800) comes amidst divided opinion among the majority of the people in the country with some criticizing and others supporting the move.
Analyst have looked at the decision to purchase aircrafts amidst tight resources and majority of them are against the move due to the fact that resources a limited and an aircraft carries with it costs to maintain it and the current aviation market in the country cannot support the operations of a Dreamliner or Air crafts in general.
Some analyst believe that the next president will have to make tough decisions to dispose of the aircrafts and invest the monies where they will have major impacts such as in health,education,water and sanitation as well as in improving the business environment and youth empowerment .
Do you think the Dreamliner will take aways Tanzanians dreams?Let us discuss on other productive use to which the money used to pay for the dreamlines could have been used and the impact that would have.
[/QUOTE
You have narrowed the discussion because it has focused on an aircraft type instead of the current fleet of aircraft. It is a reductionist perspective. Consider the perspective of the current fleet of aircraft in terms of: 1. Employment opportunities created in aircraft operations (pilots, crew, engineers etc), ground and management operations, service providers (travel agents) and multiplier effects. In these opportunities there are taxes to TRA. 2. Increased income. Since the resuscitation of ATCL, the company has earned US$14 million and commands over 80% of the national air market. 3. Tourism growth. Both domestic and internal tourism receipts have increased and Tanzania has overturned Kenya in tourism income. When all these incomes are pooled together and committed socio-economic development, Also note that the current per capita income is over $105,000. Strategic infrastructure investments like SGR and Nyerere Hydropower create long term services to the national economy provided they are effectively and efficiently managed.
Hiyo si afadhali, ni.kununuwa tv wakati huna umeme!Nilivyo elewa mimi, anavyofanya jiwe ni sawa na kununua TV huku watoto wako wakilala njaa.
Labda...labda japo sidhani.JPM ukimsikiliza anavyo condescend technocrats hadharani tu unaona ana tatizo la kujiona anajua kila kitu, hapendi kupewa ushauri, anaona kila mtu mwizi.
Mtu kama huyo kumshauri ni vigumu sana.
Na wataalam washamjulia, wakiona kitu kinaenda tofauti naye, wanamuacha tu, hawamshauri.
Kwa sababu unaweza kutaka kumshauri kwamba "kuingilia biashara ya korosho ni wazo baya". Halafu hapo hapo wapinzani nao washasema hivyo. Wewe ukimshauri hivyo utaonekana mpinzani. Na yeye kashasema hapangiwi, akikubali ushauri huo anaona ataonekana kakubali kupangiwa.
Matokeo yake anaingilia biashara ya korosho, mapato yanaporomoka.
Huyu rais anatukana mpaka mawaziri wake wa karibu kabisa, hao technocrats wa chini lazima watakuwa wanamuogopa.
Na woga huu, ukichanganywa na ukaidi wa Magufuli, vinaigharimu nchi sana.
Si kwamba JPM hashauriki kabisa, ila ana whims sana, ana summary executions sana, na mambo mengine akishayachukulia politically kubadilika ni vigumu.Labda...labda japo sidhani.
Sidhani ni akili ya JPM peke yake ameweza kuwa na hadidu za rejea mpaka kuwaweka mezani Barrick na sasa walau tumepata matokeo ambayo yamezaa Twiga Company na Tz ni shareholders.
Sidhani ni akili za JPM pekee Airtel ambao waliingia Tz kama Celtel na GoT alikuwa shareholders; watoto wa mjini wakapoteza mikataba, yeye akaja na kuifukua mpaka akakaa mezani na Bart Corp kampuni mmliki wa Airtel kwa hisa nyingi.
Na kuna mengine mengi. Kama haya yamefanyika, ni suala la kumpta how the outcome will be na kuomba fursa ya kufanya walau model moja moja ili kumpa IMANI.
Fikiria, kabla hajaamua kununua korosho kwa Fedha za Benki ya Kilimo. Jamaa walikuwa wana hela na kwa miezi zaidi ya 9 hawakuwa wametoa mkopo kwa mradi wowote wa kimkakati kukuza kilimo au processing.
Binafasi nimewahi kuwatafuta Bank ya kilimo. Naomba nisiseme sana ila kwa kifupi, uoga ni tatizo kwa Watanzania.
Kama tunadhani kukaa kimya ni suluhisho basi failure in Agribusiness and agri-industrial dream will take time to materialize while the time could be shortened.
Haya ya mikutano ya siasa tuwaachie wanasiasa na masharti walopeana.Si kwamba JPM hashauriki kabisa, ila ana whims sana, ana summary executions sana, na mambo mengine akishayachukulia politically kubadilika ni vigumu.
Hata huko kwenye Barrick, we could have done a lot better than that with a better strategy. Hiyo USD 300 million ni kama hela ya kumdanganya mtoto kwa pipi ili uchukue jumba lake la urithi.
Hiyo setup ya Twiga siwezi kushangaa nikiambiwa ina legal technicalities ambazo zinatu disadvantage. Yani ikawa kama vile Barrick wananunua insurance ya kutupiga halafu tusiwashitaki kwa sababu kampuni na sisi tumo.
Maendeleo yanataka uongozi ulio na commitment ya kupata feedback ya watu.
Sasa rais anazuia mikutano ya siasa, ambayo watu wanaelezea grievances zao. Hii ni feedback channel. Atawezaje kujifanyia self evaluation na kufanya mambo yawe bora zaidi?
Tanzania is a country in East Africa with a population of over 50 million people and per capita income of just about 1000 USD. The country has one of the fastest growing graduates unemployment in the region with a very high dependent ratio and rapid population increase.
For the past few years the country has undergone tremendous change in the areas of infrastructure,human rights democracy,freedom as well as inflation.The inflation especially in food crops is rising steadily while the incomes of majority of the population is shrinking due to unemployment and low wages.
Despite all these Tanzania has invested heavily in infrastructure projects including the construction of the SGR, A Hydro Power Project as well the purchase of brand new aircraft to revamp the national career Air Tanzania.
The recent purchase of aircrafts which included a dream liner (Boeing 787-800) comes amidst divided opinion among the majority of the people in the country with some criticizing and others supporting the move.
Analyst have looked at the decision to purchase aircrafts amidst tight resources and majority of them are against the move due to the fact that resources a limited and an aircraft carries with it costs to maintain it and the current aviation market in the country cannot support the operations of a Dreamliner or Air crafts in general.
Some analyst believe that the next president will have to make tough decisions to dispose of the aircrafts and invest the monies where they will have major impacts such as in health,education,water and sanitation as well as in improving the business environment and youth empowerment .
Do you think the Dreamliner will take aways Tanzanians dreams?Let us discuss on other productive use to which the money used to pay for the dreamlines could have been used and the impact that would have.
Hata uchambuzi wake hauna mantiki kwa sababu hakuna sekta iliyowekwa pembeni na serikali hii. Tofauti ni kiasi cha pesa tu. Lakini pia wasisahau kwamba kuna wakati nchi hii ilitenga bajeti kubwa kwenye sekta za elimu na afya kuliko sekta zingine.Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
P