grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Hao wa TMK na maeneo shirikishi watakuwa wana Calcium ya kutosha sana, ndio maana wakiamua kucheza mapanga shaa hawachoki, Vile vile ukiangalia asubuhi na jioni jinsi wananchi wa Mbagala. Tegeta na Gongo la Mboto wanavyochangamkia usafiri kupitia sehemu mbalimbali za Mabasi zenye uwazi utagundua ukakamavu wao.