Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yaani hata mimi kaniacha hoi, nikikumbuka nishashushuliwa na mwanangu kwaajili ya mifupa ya miguu ya kuku! LOL
Kumbe una mwana? Mbona ulikuwa hujanijuza hili? Khalafu mwana ana meno ya kutafuna naye mifupa?