How people eat chicken

How people eat chicken

Boflo hii elimu yako ya kutafuta visa na mikasa, nakwambia siku moja utakuja kulogwa
Hahaha buji...
Nawe pia angalia usije rogwa hapo ulipo, wamachinga ni noma kwa urogaji, na dada zao wanaroga
kwa mauno
 
Daaaaaaaaaaa
TMK na Tandale kwa mtoge wanatisha! tehe tehe!
 
......

attachment.php
Nimeipenda ila Tegeta umetuonea jamani, yaani tunakula mpaka mfupa????
 
hahhahhaha yeah wamasaki tuacha minofu minofu kazi kwenu wa Uswazi Jr
 
cc : Paloma
mkanye mumeo pliz sosoliso AISEE ANAKUJA KWA KASI

wee bi shosti Nivea........usijisingizie hapa!!! kakushinda huyo sosoliso waja kujisemesha eti nimkanye!!! hahahahahaaaa
we endelea tu kumsassambulia.........mtoto wa temeke huyo habakishi kitu zaidi ya manyoya!!!
 
Last edited by a moderator:
anayemla kuku kila siku hamthamini na ndiyo maana anaacha mabaki kibao lakini yule ambaye akimbahatisha ajue imekula kwake kiujumla.
 
Nimechekajeee sasa kujiona ninapokaa wallah kuna watu duniani wabunifu, nimeipeda hii!
 
mmmmh!ina maana sisi huwa hatuli chicken kabisa!?siziamini hizi statistics!
 
Back
Top Bottom