How often do you go for a poo?

How often do you go for a poo?

I think i go once a day especially in the morning!
 
Kabla sijaoga lazima kieleweke kila siku
 
mmmh Boflo..............nshakustukia wewe wataka kutuchora lol! miye naenda ila sikwambii.
 
Last edited by a moderator:
I go about three times every day. How often do you go?
itakuwa Boflo ana permanent driving!![/QUOTE]

Ni kweli ama ana permanent driving au ana over eat kwani kula zaidi ya mahitaji ya mwili lazima poo inakuwa ni kubwa na ya mara kwa mara!!
 
Jamaa anataka kujua tatizo la constipation ni kubwa kiasi gani.
 
Duh, yaani na avatar zenu nzuri hivyo mnakunja sura?
Mie napita tu
 
Aaaah Apuu! morning only, labda itokee dharula!
 
Back
Top Bottom