Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
Huo utakuwa ni mtihani kwao tena mkubwa
Hata kaka yako hana ujasiri wa kusema Amen hapa
Hata ukikataa ndo itakuwa hivyo
Mkuu unafahamu jina la.huu wimbo!?nimeusaka kwelikweliHeaven Sent na Khantwe zamani pale Jolly club kuna wimbo ulikuwa unapigwa na live band moja kila ijumaa nilikuwa naupenda sana ulikuwa unaimba hivi
Itakuwaje kutupenda wawili
Hali najua una moyo mmoja
Najua utadanganya mmoja
Kama yeye kama mimi sijui.....
Mkuu Mshana huu wimbo nani aliuimba (mtu/band) na jina lake unaitwaje? Nimeusaka sana miaka kadhaa huko nyuma hadi leo sijafanikiwa kuupata. Naupenda sana unanikumbushaga enzi hzo za The Jolly Club when starehe was starehe!Heaven Sent na Khantwe zamani pale Jolly club kuna wimbo ulikuwa unapigwa na live band moja kila ijumaa nilikuwa naupenda sana ulikuwa unaimba hivi
Itakuwaje kutupenda wawili
Hali najua una moyo mmoja
Najua utadanganya mmoja
Kama yeye kama mimi sijui.....
Mkuu ulifanikiwa kuupata huu wimbo!?Heaven Sent na Khantwe zamani pale Jolly club kuna wimbo ulikuwa unapigwa na live band moja kila ijumaa nilikuwa naupenda sana ulikuwa unaimba hivi
Itakuwaje kutupenda wawili
Hali najua una moyo mmoja
Najua utadanganya mmoja
Kama yeye kama mimi sijui.....