AMEN times 1,000,000
We nani mpaka unaniuliza hivyo? Hem kampikie kaka yako huko mi nshachoka kupika miugali
Khantwe hachelewagi kukamata fursa ujue take care
Duu...!! naona kama nabaki pekeyangu sijui nijikakamue tu niseme Aamen?
mbona kama umeshaisema kimyakimya vileDuu...!! naona kama nabaki pekeyangu sijui nijikakamue tu niseme Aamen?
BAK Saida Karoli aliimbaga 'moyo wa mtu ni kiza kineneView attachment 188908
Ata waje kina Khantwe 100 me wangu miss neddy....niamini tu mke wangu