How many will say AMEN to this?

How many will say AMEN to this?

Hahahahaha basi hapo bichwa hilooooo. Tulikuwa tunakuenjoy tu na baby, na unavyompenda sasa kama nakuona unavyopiga mazoezi ya skelewu huhuhuhuhuhu usivunje tu miguu bi mkubwa

Hahahaaa we chonga tu...awali ni awali hakuna awali mbovu
 
Hakuna cha awali wala chekechea. Wewe jikubali tu kuwa ni zilipendwa bi mkubwa

We hayaa mi najua atarudi tu huyo yupo mchepukoni...eti Viol kweli hunipendi mimi? .....apia
 
Last edited by a moderator:
We hayaa mi najua atarudi tu huyo yupo mchepukoni...eti Viol kweli hunipendi mimi? .....apia

Hahahhahahah baby Viol come this way. Naomba tu useme ukweli kwa mara ya mwisho, unampenda nani?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom