mimi silei mtoto ili awe mke/mme !~!!!!
hawa ndiyo wale wanaojificha wakati wakutenda mambo yao kuogopa kutengwa na kanisa au msikiti
MUYOOL kuna nini tena huu mtaaHuo utumbo wenu mnaojisifia hivi mnaweza kuuweka wazi kwa waumini huyo shetani mnayemtukuza anaweza kumtokea na mwenzi wako halafu ukapata cha mtema kuni.Huyo shetani mnayemtukuza kwa kujivunia kuwa na wapenzi wengi anaweza kuwatokea na wanao halafu wakageuka na kuwa porn actors halafu ukakiona cha mtema kuni.Mbwa mkali huwa anazaa mbwa mkali pia.Wewe badala ya kumuomba Mungu akusamehe dhambi zako na zisiendelee kwa vizazi vyako wewe unajitapa?Mungu aliye mkuu huwa hachezewi wala kutaniwa kuna siku utakumbuka maneno yangu muda huo Muda wa kutubu wala kuiombea familia yako unakuwa haupo tena.
hawa ndiyo wale wanaojificha wakati wakutenda mambo yao kuogopa kutengwa na kanisa au msikiti
mm nadhani ukizipanga Mbu**e zao kwa religion ya kati zinafika tabora
ahahaaa mi mbona wawili tu kweli tena naapaMngeeleza maana ya dating kwanza. One night stands tunahesabu?@smile njoo na excel sheet kadhaa.
asukupe shida mkewe anamlamba makofi huwa yuko hivyo
Siyo stress mkuu ila nimepata hasira kuona shetani anatukuzwa waziwazi 90% ya wachangiaji waliotangulia wote wanajisifu kuwa na wapenzi wengi bila hata aibu.Wanaonyesha waziwazi hawajutii uchafu waliokuwa wakiutenda au wanaoendelea kuutenda.Kama unamtukuza Mungu japo kidogo tu nilazima usikie kichefu chefu.Hata wana wa Israeli kuna kipindi walikuwa wanajifanya wajanja wakafikia hata kujichongea vimungu vyao lakini mwisho wa siku Mungu aliye mkuu aliwaadhibu vya kutosha.Fikiria huyo shetani mnayemtukuza akimtokea na mwenzi wako nae akaamua kulipiza kama ulivyofanya utakuwa mgeni wa nani nadhani jibu unalo.Fikiria huyo shetani akiwatokea na wanao ktk dunia ya sasa yenye sayansi na technolojia si ndiyo watakua porn actors.Mwanamke mzinzi alipomuona Yesu alijutia dhambi zake lakini hakujisifu kama wengine mnavyofanya.Ndugu zangu waislamu watu wazinzi wanapigwa mawe kama ishara ya kutokubaliana na uchafu huo mnaojisifu.
Huo utumbo wenu mnaojisifia hivi mnaweza kuuweka wazi kwa waumini huyo shetani mnayemtukuza anaweza kumtokea na mwenzi wako halafu ukapata cha mtema kuni.Huyo shetani mnayemtukuza kwa kujivunia kuwa na wapenzi wengi anaweza kuwatokea na wanao halafu wakageuka na kuwa porn actors halafu ukakiona cha mtema kuni.Mbwa mkali huwa anazaa mbwa mkali pia.Wewe badala ya kumuomba Mungu akusamehe dhambi zako na zisiendelee kwa vizazi vyako wewe unajitapa?Mungu aliye mkuu huwa hachezewi wala kutaniwa kuna siku utakumbuka maneno yangu muda huo Muda wa kutubu wala kuiombea familia yako unakuwa haupo tena.
ahahaaa mi mbona wawili tu kweli tena naapa
CL like this!!!
labda, let's define dating first. Yani kibongobongo.
Coz like for my case i've only dated 3 honeyz but kugegeda! List is endless