How Many Girlfriends or Boyfriends Have you Dated So Far

How Many Girlfriends or Boyfriends Have you Dated So Far

Ukioa au kuolewa mwenzi wako hatakuridhisha kamwe pia ulichokifanya ni aibu kwa wazazi wako kwa kutokupa malezi yanayomuogopa Mungu.Shame on you and your parents.

Inahu... ! Do not involve my parents in anything that concerns me you Sucker cause you do not know them in any way.
 
Kama ni hivyo nadhani bado hujatambua majukumu yako wewe kama mzazi.Kosa liko kwa wazazi wako waliokupa malezi mabovu ya kiroho.Kama uliweza kugawa mbunye kwa watu 100 na bado unadai hivi unadhani unaweza kuwapa wanao malezi mazuri tofauti na kuwaambia na wao wagawe mbunye au wadate na watu zaidi ya 100.Huwezi kuwa na wazo jipya tofauti na jinsi ulivyolelewa.Ila kumbuka Mshahara wa dhambi ni Mauti pia kumbuka kauli zako pia zinaweza kuchangia shetani kupata wafuasi wengi na jiandae kupata huku ya Mungu aliye Mkuu.Sina haja ya kukubembeleza wewe endelea kugawa mbunye hata kwa watu 1 bil.kuna siku utakutana na aliyekuumba.
wewe huwa nakuhesabu kama taahira katika mawazo yangu ,huwezi kuwa na akili timamu ukachukulia kuila kitu kwa uzito huu,hata kama wewe inakuuma nini nenda kawahubirie nduguzo kwanza ndio uje unambie mimi.stress zako peleka kwenye k ya mkeo usiniletee mimi.huwa unaudh sana wewe
leo nakuonya popote unapoona posti ya nivea usii quote !!narudia tena usiiquote i warn you for the last nilishakuambia unisikii.stress zako peleka kwwa mkeo anayekulamba makofi mwanaume mzima.unafikiri heshima inanunuliwa dukani ??eti wazazi wangu walinipa malezi mabovu unawajua wazazi wangu wewe wewe ulilelewa vizuri sana ,pliz hii pia ni mara ya mwisho usiwainvolve wazazi wangu kwenye vitu kama hivi pathetic
 
Yupo mmoja nilimsahau, akajaribu kunikumbusha hadi hoteli tulikokwenda, na eti na viatu nikamnunulia !! Lakini wapi, sikumkumbuka kabisa!
 
Shauri yenu, endeleeni kujisifia zinaa. Kumbukeni yaliyotokea Sodoma na Gomora. Inasemekana jamaa wa hiyo miji walikuwa wanapenda ngono kupita kiasi. Hata siku Malaika wa MUNGU walipoingia nyumbani mwa Lutu, jamaa wa Miji ya Sodoma na Gomora wakaizingira nyumba ya Lutu wakitaka kuwangonoa wale Malaika, kilichofuatia asubuhi yake, leo hii ni historia! Shauri yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom