How Many Girlfriends or Boyfriends Have you Dated So Far

How Many Girlfriends or Boyfriends Have you Dated So Far

mimi silei mtoto ili awe mke/mme !~!!!!

Kama ni hivyo nadhani bado hujatambua majukumu yako wewe kama mzazi.Kosa liko kwa wazazi wako waliokupa malezi mabovu ya kiroho.Kama uliweza kugawa mbunye kwa watu 100 na bado unadai hivi unadhani unaweza kuwapa wanao malezi mazuri tofauti na kuwaambia na wao wagawe mbunye au wadate na watu zaidi ya 100.Huwezi kuwa na wazo jipya tofauti na jinsi ulivyolelewa.Ila kumbuka Mshahara wa dhambi ni Mauti pia kumbuka kauli zako pia zinaweza kuchangia shetani kupata wafuasi wengi na jiandae kupata huku ya Mungu aliye Mkuu.Sina haja ya kukubembeleza wewe endelea kugawa mbunye hata kwa watu 1 bil.kuna siku utakutana na aliyekuumba.
 
hawa ndiyo wale wanaojificha wakati wakutenda mambo yao kuogopa kutengwa na kanisa au msikiti

Huo utumbo wenu mnaojisifia hivi mnaweza kuuweka wazi kwa waumini huyo shetani mnayemtukuza anaweza kumtokea na mwenzi wako halafu ukapata cha mtema kuni.Huyo shetani mnayemtukuza kwa kujivunia kuwa na wapenzi wengi anaweza kuwatokea na wanao halafu wakageuka na kuwa porn actors halafu ukakiona cha mtema kuni.Mbwa mkali huwa anazaa mbwa mkali pia.Wewe badala ya kumuomba Mungu akusamehe dhambi zako na zisiendelee kwa vizazi vyako wewe unajitapa?Mungu aliye mkuu huwa hachezewi wala kutaniwa kuna siku utakumbuka maneno yangu muda huo Muda wa kutubu wala kuiombea familia yako unakuwa haupo tena.
 
MUYOOL kuna nini tena huu mtaa
 
Last edited by a moderator:
leo nilikua nimekaa nikaanza kuandika idadi ya mabinti niliwah kuwapitia ni nane ukiwatoa wale machangudoa 34 wa buguruni
 
namuomba sana mungu,adi nikiolewa niwe na no.1, ambae nimume wangu.nimeweka nadhiri kwa mungu.
 
Loading ....................loading..........,loading............, Failure notice 'the file you are opening is too large for your device!'
 
Dah nimkewangu tu !! Sijawahi hata mmoja sijui wananogaje au. Wote ni sawa??
 
Siyo stress mkuu ila nimepata hasira kuona shetani anatukuzwa waziwazi 90% ya wachangiaji waliotangulia wote wanajisifu kuwa na wapenzi wengi bila hata aibu.Wanaonyesha waziwazi hawajutii uchafu waliokuwa wakiutenda au wanaoendelea kuutenda.Kama unamtukuza Mungu japo kidogo tu nilazima usikie kichefu chefu.Hata wana wa Israeli kuna kipindi walikuwa wanajifanya wajanja wakafikia hata kujichongea vimungu vyao lakini mwisho wa siku Mungu aliye mkuu aliwaadhibu vya kutosha.Fikiria huyo shetani mnayemtukuza akimtokea na mwenzi wako nae akaamua kulipiza kama ulivyofanya utakuwa mgeni wa nani nadhani jibu unalo.Fikiria huyo shetani akiwatokea na wanao ktk dunia ya sasa yenye sayansi na technolojia si ndiyo watakua porn actors.Mwanamke mzinzi alipomuona Yesu alijutia dhambi zake lakini hakujisifu kama wengine mnavyofanya.Ndugu zangu waislamu watu wazinzi wanapigwa mawe kama ishara ya kutokubaliana na uchafu huo mnaojisifu.

usimuhukumu mwenzako na kama wewe ni msafi basi nyanyua mikono yako na endelea kunyooshea wenzako vidole.

usije ukahukumu na kunyooshea wenzako vidole ,halafu mkajikuta wote motoni au wenzako wanatia timu peponi.
 
Huo utumbo wenu mnaojisifia hivi mnaweza kuuweka wazi kwa waumini huyo shetani mnayemtukuza anaweza kumtokea na mwenzi wako halafu ukapata cha mtema kuni.Huyo shetani mnayemtukuza kwa kujivunia kuwa na wapenzi wengi anaweza kuwatokea na wanao halafu wakageuka na kuwa porn actors halafu ukakiona cha mtema kuni.Mbwa mkali huwa anazaa mbwa mkali pia.Wewe badala ya kumuomba Mungu akusamehe dhambi zako na zisiendelee kwa vizazi vyako wewe unajitapa?Mungu aliye mkuu huwa hachezewi wala kutaniwa kuna siku utakumbuka maneno yangu muda huo Muda wa kutubu wala kuiombea familia yako unakuwa haupo tena.

mkuu kuna jukwaa la dini humu jf , hebu elekea huko tutakufuata utuhubirie....... naona unaachia laana watu usiowafahamu
 
Dah! Mie wanaume wangu nliowahi ku-do nao wanajaa MV VICTORIA! Sasa nimetulia tuliii na ndoa yangu.😎
 
primari 7, sekondari 6 a levo 4 chita jkt 12 chuo 9 mtaani 11 kwenye ajira 22 sasa nimeoa jumla ngapi vile?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom