How Many Girlfriends or Boyfriends Have you Dated So Far

How Many Girlfriends or Boyfriends Have you Dated So Far

mh aisee! I lost count when I was 20! Years back! Ilifika mda nawatamani mbaya ila naona kama kuwa gonga tu haitoshi sijui niwale!
I was becoming a psyco I think hehe!
Niliowapenda kwa dhati 1 au 2.
Sidhani hata kama nikitu kinachotakiwa uhesabu.

uwale ya kuwatafuna kwa meno au?
 
Humu cjawahi,lakin fb na mtaani kama 200 hivi,hata ryt now am talking,naandika ujumbe huu kwa mkono mmoja hapa mwingine upo kwenye kipochi cha manyoya kitamu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
100 and not enough

Du! Hiyo machine itakuwa imechoka nyang'anyang'a kama ni gari basi itakuwa zile Landrover za zamani kabisa ambazo ziko hadi leo.Usijisifu kwa maovu uliyotenda walee wanao kwa kumpendeza bwana ili waje kuwa wake / waume bora.Usiwe kama baadhi ya wazee wetu ambao wanajisifu kama wewe lakini mwisho wa siku ukimuuliza umepata faida gani anabaki mdomo wazi.
 
labda dar express tano hivi ziizojaa and still counting.

Ukioa au kuolewa mwenzi wako hatakuridhisha kamwe pia ulichokifanya ni aibu kwa wazazi wako kwa kutokupa malezi yanayomuogopa Mungu.Shame on you and your parents.
 
Du! Hiyo machine itakuwa imechoka nyang'anyang'a kama ni gari basi itakuwa zile Landrover za zamani kabisa ambazo ziko hadi leo.Usijisifu kwa maovu uliyotenda walee wanao kwa kumpendeza bwana ili waje kuwa wake / waume bora.Usiwe kama baadhi ya wazee wetu ambao wanajisifu kama wewe lakini mwisho wa siku ukimuuliza umepata faida gani anabaki mdomo wazi.
mimi silei mtoto ili awe mke/mme !~!!!!
 
Du! Hiyo machine itakuwa imechoka nyang'anyang'a kama ni gari basi itakuwa zile Landrover za zamani kabisa ambazo ziko hadi leo.Usijisifu kwa maovu uliyotenda walee wanao kwa kumpendeza bwana ili waje kuwa wake / waume bora.Usiwe kama baadhi ya wazee wetu ambao wanajisifu kama wewe lakini mwisho wa siku ukimuuliza umepata faida gani anabaki mdomo wazi.

Unafikiri sifa shame on you.Mwenzi wako kapata janga la mapenzi.

Ukioa au kuolewa mwenzi wako hatakuridhisha kamwe pia ulichokifanya ni aibu kwa wazazi wako kwa kutokupa malezi yanayomuogopa Mungu.Shame on you and your parents.

mbona kama unastress sana mkuu?

usitake watu waishi kama wewe unavyotaka.
 
For u must "intergrate by part" to get the expected aproach number..
 
mbona kama unastress sana mkuu?

usitake watu waishi kama wewe unavyotaka.

Siyo stress mkuu ila nimepata hasira kuona shetani anatukuzwa waziwazi 90% ya wachangiaji waliotangulia wote wanajisifu kuwa na wapenzi wengi bila hata aibu.Wanaonyesha waziwazi hawajutii uchafu waliokuwa wakiutenda au wanaoendelea kuutenda.Kama unamtukuza Mungu japo kidogo tu nilazima usikie kichefu chefu.Hata wana wa Israeli kuna kipindi walikuwa wanajifanya wajanja wakafikia hata kujichongea vimungu vyao lakini mwisho wa siku Mungu aliye mkuu aliwaadhibu vya kutosha.Fikiria huyo shetani mnayemtukuza akimtokea na mwenzi wako nae akaamua kulipiza kama ulivyofanya utakuwa mgeni wa nani nadhani jibu unalo.Fikiria huyo shetani akiwatokea na wanao ktk dunia ya sasa yenye sayansi na technolojia si ndiyo watakua porn actors.Mwanamke mzinzi alipomuona Yesu alijutia dhambi zake lakini hakujisifu kama wengine mnavyofanya.Ndugu zangu waislamu watu wazinzi wanapigwa mawe kama ishara ya kutokubaliana na uchafu huo mnaojisifu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom