Na mie ndio nilikuwa najiuliza hapa! Ila daah, topic ina uzito wake maana kabla ya kujibu unajikuta umemuwazia hata yule ambae hutamani hata kupishana nae barabarani (talaka tokomea type). Back to the question, nimeishia sita maana sitaki kujiharibia mood kukumbuka kero za waliobakiahii ilikuwaje watu wengi hawajaja kuchangia........ wapenzi kama wapenzi 4 , ila wale wa one night stand na no string attached sikumbuki idadi na wengine siwakumbuki.
Na mie ndio nilikuwa najiuliza hapa! Ila daah, topic ina uzito wake maana kabla ya kujibu unajikuta umemuwazia hata yule ambae hutamani hata kupishana nae barabarani (talaka tokomea type). Back to the question, nimeishia sita maana sitaki kujiharibia mood kukumbuka kero za waliobakia
Ha ha ha. Lord Have Mercy! Nikishakusamehe ndio nakusamehe hadi kukutia machoni.usifanye hivyo mtoto wakike , hulitendei haki jina lako samehe saba mara sabini ujue.............:wink1:
Ha ha ha. Lord Have Mercy! Nikishakusamehe ndio nakusamehe hadi kukutia machoni.
ukimsamehe mpaka kumtia machoni siyo mbaya , mbaya inakuwa labda kumsamehe mpaka kumtia kwenye yale maungo yaliyowakosanisha.[/QUOTE] Astaghfirullah!! Hujatulia Walahi! Machoni tu hakuhusiki huko tena si ndio Abadan...Asilan!
ukimsamehe mpaka kumtia machoni siyo mbaya , mbaya inakuwa labda kumsamehe mpaka kumtia kwenye yale maungo yaliyowakosanisha.[/QUOTE] Astaghfirullah!! Hujatulia Walahi! Machoni tu hakuhusiki huko tena si ndio Abadan...Asilan!
ha ha ha ha!!!!! bye.
mmmmmmmh!!!!!!
A recent survey indicates that African Men and Women date atleast 5 partners before they decide to settle down with the one they feel they love but some most especially men continue to have extra affairs though they are married. Now here is a question, How many have you dated before u decided to settle down?
yes two only, i mean a serious dating only two and the second one is final.
one night stand?
no string attached?