How long DOES sex Normally long?

How long DOES sex Normally long?

Kiongozi, mtu wa umri wangu kuulizwa swala muda juu ya kinena...mmmh!
Labda ingekuwa kuridhishana ndio ningeona mantiki ya swali, naamini anaridhika, nami naridhika.
Hili swala la udarisalama au umkoa...mmh, nawe umeingizwa kwenye mitego ya watoto?
ooooh nimekosea sana, kumradhi nilidhani nawe ni mmoja wa vijana wa kisasa, iseee kumbe mtego? nilidhani huu uvumi ni kweli, maana hata huko kitaaa kuna malalamiko mengi ukiachilia humu,
 
Back
Top Bottom