How I imagine people in JF

Cupcake...umemsahau rafiki (wakati mwingine adui yangu) yangu Pundit aka Critic....nahisi lazima jamaa atakuwa mweusi sana....

LOL!...Pundit huwa namfikiria ni kaka mmoja mnoko sana,mfupi kama too short(maana watu wafupi ni wabishi sana na huwa wanapenda kubishana ili waweze kuonekana-lack of cofidence).....alafu siyo dark sana siyo brown moderate....and he has a fro kama kid n play and he is bowleg
 
well Mama hao watu wakija na personal attacked watakuwa wanachemka...i will say ndiyo hao ambao wako too serious in life ambao hawajui kuwa in real life siyo lazima uwe serious kuna time of making jokes and have fun unless otherwise watakufa kabla ya siku zao na pia ni kujizeesha....

Me simkandamizi mtu actual ila that is how i imagine them.....

Waambie Kelly, waache kuwa arrogant na kuwahate wenzao bure.

Endelea kuimagine.
 
Waambie Kelly, waache kuwa arrogant na kuwahate wenzao bure.

Endelea kuimagine, na imagine tungepata rais kama Kuhani (kuna mtu roho itamtoka).

Oh no Kuhani hawezi kuwa president he is too serious...we dont need a serious president...we need a moderate president who love both...huyo kuhani anaweza kufunga fun zote za entertainment.....
 
Oh no Kuhani hawezi kuwa president he is too serious...we dont need a serious president...we need a moderate president who love both....

Nyie kumbe mnataka rais who love both kama Kikwete, ndio maana Tanzania hakuna maendeleo. We need a serious president.

Haya Kelly jioni njema.
 
Oh no Kuhani hawezi kuwa president he is too serious...we dont need a serious president...we need a moderate president who love both...huyo kuhani anaweza kufunga fun zote za entertainment.....

Sing it to me girl.....
 
Nyie kumbe mnataka rais who love both kama Kikwete, ndio maana Tanzania hakuna maendeleo. We need a serious president.

Haya Kelly jioni njema.

of course we need a president ambaye he is smart and who is not boring and a president who loves to have fun...Kikwete ni raisi powa sana ila tuu amejisahau sana all he knows ni kusafiri na kusahau kudeal na mambo ya inji yake no wonder mafisadi wanakula raha tuu kwa wenda mbele.....Na hali ya nchi inazidi kuwa mbaya...

haya jioni njema na wewe pia Mama.
 
Cupcake!...what is that?...i hate that picture mmh no take it out..its scaring.

thats tha bizness girl...whatchu talkn bout you don't like it? see those six packs? see those lats? see those trap? see those quads? see those pecs?

anyways, your wish is my command...i'll change it
 
Kelly!
Najaribu kupata picha jinsi ulivyokaa na kufikiria wana-JF mbalimbali walivyo!
Mimi ni mpole hujakosea,muoga sana wa conflicts kwa sababu siwezi kubishana.

Wewe unaonekana ni mrefu, mwembamba hivi kiaina pia unapenda utani kuchangamsha watu. Nimeshawahi kukuona ila wewe hujui tu!...
 
well,KELLY,to me seems to be the dreaded public enemy number one--ZEUTAMU---maandishi yake all point to one direction,you have to be totally blind not to see this- to kelly sorry for giving the game away
 
Hii (kelly01 na Nyani Ngabu) imenikumbusha kipindi cha NANI ZAIDI - RADIO ONE (wakati ule wa Chaz na Flora Nducha - wako BBC Swahili kwa sasa)

And the Winner is kelly01

-
 
thats tha bizness girl...whatchu talkn bout you don't like it? see those six packs? see those lats? see those trap? see those quads? see those pecs?

anyways, your wish is my command...i'll change it

hahaha i love sixacks but not those kind ...those were tragedy and ugly in other word....ugghh i am glad you have changed it to this picha ulivyokuwa mtoto hahahah
 
Kelly!
Najaribu kupata picha jinsi ulivyokaa na kufikiria wana-JF mbalimbali walivyo!
Mimi ni mpole hujakosea,muoga sana wa conflicts kwa sababu siwezi kubishana.

Wewe unaonekana ni mrefu, mwembamba hivi kiaina pia unapenda utani kuchangamsha watu. Nimeshawahi kukuona ila wewe hujui tu!...

duuh Belinda jacob hahahah we might need to talk on private yaani hujakosea kabisa me i am people person i love to make jokes ni mtu wa mautani sana...i smile all the time sina makuu na watu unless unichokoze...inabidi unipe hint umeshaniona mitaa ipi...
 
Back
Top Bottom