How GOD is smart

Ur still a learner
 
God is smartless, because God Himself is smart..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanadamu alivyomkataa Mungu means ana Uhuru wa kuchagua maisha anayotakz yeye bila hata kumtegemea Mungu, na still ukapata mafanikio ikiwepo utajiri, na ndo maana nikasema hawez kukulazimisha umtegemee Kwa jambo lolote lile, na ndo ile point ya u-smart inapokuja

Kwa hy swala LA wewe kumtegemea Kwa jambo lolote lile ni swala LA hiari yako

Na hao wanamtegemea Mungu na bado hawafanikiwa, ni simple unapotaka kumtegemea Mungu lazima ujiandae na vita kutoka Kwa shetani. Na pili watu waliokoka hawafanikiwa Kwa sababu wengi wanategemea miujiza na sio akili, ili ufanikiwe lazima utumie akili, kumbuka Mungu alivyosema watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa.

Tatu kuna uhabu wa Mafundisho ya jinsi ya kufanikiwa ki-Mungu, tunajua kuna namna ya kufanikiwa ki-shetani (Freemason na Kwa njia za kichawi), na kibinadamu, lakin ki-Mungu hayo Mafundisho yamekua adimu mengi yaliyoko ni ya uongo
 
maada nzuri na mimi kukikazia kazia kidogo ni hivi
1.Asili ya Mungu ni nini? Asili (Nature) ya Mungu ni Roho (YOHANA 4:24).Sasa kama Mungu asili yake ni Roho na kuna roho aina mbali mbali Roho ya mungu ni ya aina gani??,Roho ya Mungu ni TAKATIFU (HOLY).sasa kwa asili ya Mungu kuwa Roho inamaana anapatikana kila mahali,Duniani,chini ya dunia,angani,mbinguni na ulimwenguni koote kwa wakati mmoja!

2.Mungu Hakumtuma Yesu aje na mwili wa Binadamu,kilichofanyika nikwamba Mungu mwenyewe aliumba mwili then akaingia ndani yake,yaani Mungu alijificha kwenye ule mwili ambao ulizaliwa na Mariam,Mungu Mwenyewe alikuwa ndani ya YESU Kristo! angalia maajabu ya Mungu,Muda huo huo alikuwa ndani ya Yesu,Muda huo huo alikuwa Mbinguni kwenye kiti cha enzi,Muda huo huo alikuwa ndani ya Yohana mbatizaji kwakuwa yohana mbatizaji alizaliwa tayari amejaa roho mtakatifu(roho wa Mungu)!,hukusoma andiko lilikuwa linatabiri kuja kwa Yesu na likasema ataitwa Emmanuel maana yake MUNGU PAMOJA NASI?,(ISAYA 7:14),Na pia kuna andiko linasema Mungu alijidhihirisha katika mwili akakaa kwetu? (1Timotheo 3:16) maana yake Mungu alitengeneza mwili then akaingia ndani yake then akaja kwa binadamu,alijidhihirisha katika mwili,kama vile wewe unavyoweza kujidhihirisha kwenye mavazi mbalimbali,ukavaa suti,au jens,au ukajidhihirisha na nguo za cadet nk..zile ni nguo tu ila wewe uko ndani ya zile nguo,na kwakuwa Mungu alikuwa anakuja kukomboa wanadamu ilimbidi aje kwa sura ya kibinadamu aishi na binadamu,awaonyeshe binadamu namna ya kuishi bila kutenda dhambi sasa Mungu ni roho ilimpasa aende kwenye nyumba ya daudi atengeneze MWILI halafu auvae huo mwili azaliwe kwa njia ya mwanamke kama binadamu wengine then atufundishe namna ya kuishi maisha matakatifu na hatimaye kafara ifanyike msalabani kuukomboa ulimwengu woote
 
Kwahiyo Mungu alijigawa vipande vipande, kipande kimoja kikawa duniani kikiwa kimevaa mwili wa kibidamu na kipande kingine kikawa mbinguni? Hivyo Mungu yesu alivyokuwa duniani akawa anajiomba msaada mwenyewe ili kikombe kimuepuke? Vipi kuhusu hili andiko mbona linaonesha kwamba Mungu ni Mungu na Yesu ni yesu? Au unaweza kunipa ufafanuzi juu ya hili andiko?

Yohana 20:17

Yesu akamwambia, “Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu.”



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri ya maisha ya mwanadamu anayo yy mwenyewe Mwenyezi Mungu!

Na ndio maana unaujua wewe upast wako but in your future hata kesho yako tu huijui japo una mipango yako uliyojiwekea kuanzia kesho!...hii dunia ukiyakifikiria kwa sana haya mambo waweza pasuka kichwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo uliposema " Mungu hawezi vunja sheria aliyojiwekea"

Ikiwa Mungu aliruhusu Adam, Hawa na watoto zao waoane (ndugu kwa ndugu) na kutengeneza vizazi
Mbona baadae sheria imegeuka na kuwa ni kosa kwa ndugu kwa ndugu kuoana? Hapo Mungu ni kigeugeu au sio kigeugeu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mungu wenu ni kituko!

cc FaizaFoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huo ni mti kama mti au ni fasihi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mti uliok
Hivi huo ni mti kama mti au ni fasihi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunda lilikuwa linamaanisha mfumo wa maisha. Uzima na ubaya mfumo wa maisha ya uzima na ubaya maisha ya binadamu yana pande mbili uzuri na ubaya jaribu hata kuangalia maisha yetu yana hizi pande mbili na ndo adamu aliyochagua kuna mchanganyiko wa vitu vizur na vibaya. Uzima mfumo wa maisha ya uzima hakuna mabaya, maumivu au struggle ni mazur tu. Na hii mifumo miwili iliwekwa ndani ya matunda
 
Umejipanga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mkuu kiufupi tuseme kama ni Uhuru ametupa ina maana hana tena na muda na sisi? Yaan binadamu utajijua mwenyewe utakachoamua kufanya?...potelea kote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mafundisho hapo nna swali....uhaba wa mafundisho ya ki Mungu yamepotoshwa na nani? Kwa ajili gani? Je ni yale ya kwenye biblia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee

Kuna watu bado hawaamini Kama Mungu yupo???

Sent using Jamii Forums mobile app

Thibitisha uwepo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…