How GOD is smart

Nani amekudanganya kwamba ili majini yaishi duniani lazima kwanza yaingie mwilini kwa kiumbe mwingine?
 
Mkuu umesema kuishi duniani kunahitaji uwe na (mwili) ndio maana majini wanaingiza katika miili ya wanadam ili waweze kuishi duniani...

Swali langu! Jini ni nini? Na kabla jini hajaingia katika mwili wa mwanadam huwa anapatikana wapi?
 
How smart is God!
 
Mke mmoja, mume mmoja_akaruhusu suleman na hekima aliyokuwa nayo akawa na mamia ya wanawake plus vimada

Usiue_ila wana israel wakawaua wakanaan ili wapate sehemu ya kuishi. Yani mungu akashindwa kuwaumbia watoto wake nchi, badala yake akawaua wenyeji ili wageni waishi.

Usimshuhudie jirani yako uongo_akambariki yakobo aliyemdanganya baba yake kwa kujifanya ndiye esau.

Yapo mengi ila haya ni machache
 
Weupe walijua wakitushikisha miungu yao tutakuwa kondoo kwelikweli.

Europe_Jesus
Waarabu_Mohamad
Chinesse_Budha
Wahindi_Ng'ombe
Waafrika_swaga popote.

Yaani tuko radhi tumpiganie mungu wa wengine na kuitukuza mizimu ya wazungu ambayo inaitwa watakatifu tena na maandiko wameacha, ila mausia ya babu zako unayaona ni ushamba
 
nahtaji waje wajibu hz sintofahamu
 
hz dini full complications!!
 
nahtaji waje wajibu hz sintofahamu
Hawana majibu, wataishia kusema "akili zake hazichunguziki"

Muda alioutumia kuleta gharika, alipaswa aangamize majini yote.

Bada ya kuchoma moto nafsi zisizo na uwezo wa kupambana na shetani, sodoma na gomora angemuua shetani mwenyewe. Ajabu ni kwamba shetani ambaye ndiye mdhambi mkuu amepewa muda mrefu wa kudanganya watu kuliko raia waliodanganywa. Aliyekula tunda ni adam ila mateso tunayapata sisi. Ananufaika vp na uwepo wa shetani na ukiangalia shetani hajawahi kujificha mbele za huyo anayeitwa mungu kwa mujibu wa vitabu?

Kuna muda nahisi Kiranga yuko sahihi, tunatofautiana tu kwenye kuamini kuna Mungu ambaye ndiyo nguvu kuu iliyoumba vyote.
 
 
Habari za kuwepo Mungu ni za kutungwa na watu tu.

Ukichunguza kwa kutumia mantiki utaona hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…