Ha! Ha! Haaaaaa!Na Bado Mtafukua Makaburi Kubabake...Mtamfufua Nyerere,Sokoine,Kambona na Maiti Wote Ambao Mnahisi Watawapunguzia Kasi Ya Mashambuliz...Ila Ukweli Unabaki Pale Pale,Mtaisoma Namba Kudadadeki!
Hapo umemaliza kilakitu mkuu. Hiyo ndo hoja yakujadili kama taifa tuache kutafuta wachawi nje yanchi wakati mchawi no1 wa Taifa hili ni huyuhuyu Ccm.And, How CCM underdeveloped Tanzania?
bahati mbaya nyie watu wapya hamkusoma vitabu kama hivyo ndio maana mnazo tabia za kimamluki.Walioididimiza na wanaoendelea kuididimiza Afrika ni Waafrika wenyewe.
Tuache kuwasingizia wengine!
Mkuu hiyo source yahuo msuko suko siunajua lakini? Nadhani ungekuwa mzalendo wakweli ungewashauri watawala wetu wasifanye hayo yaliyopelekea tufike hapo kwenye huo unaoita msuko suko.Unafurahia nchi kuingia kwenye misukosuko.
Kapimwe akili.
...Katika eneo la Mashariki ya Kati, kuna nchi mbili ambazo, kama zina maendeleo ya kiuchumi au kufanikiwa kijamii, ni kutokana na misaada na namna walivyoitumia. Nchi hizo ni Israel na Jordan.wameendelea kwa misaada?
...Nadhani, ulimaanisha intervention.SAVINGS: Nchi kama nchi lazima iimarishe pato la ndani ili kuweza kujifanyia mambo yake bila interaction yoyote. Mfano JPM alipoingia Ikulu, nilifurahi sana eti kusema miezi miwili tu serikali yake imekusanya trillion 4, binafsi nilitarajia sasa nchi hii inaenda kuwa super tajiri ndani ya awamu moja tu ya JPM. Nurkse yeye ni perismist na misaada ya nje, maana inaifanya serikali kuingiliwa kisiasa.
MARKET:
...Soko si lazima liwe na ndani. Tujifunze jinsi Japan, Singapore, Taiwan, n.k. walivyoweza kujenga uchumi wao kwa kuuza katika masoko ya nje. We need to invest in people.sasa watu kama hawazaliani, soko tunalipataje? Wakati waafrika tunashangilia uzazi wa mpango na tukiona gari limeandikwa VACECTOMY tunaruhusu wake zetu walikimbilie.
...Ukiomba, utapewa! Chukua.Mkuu kama unasofty copy naomba uishee hapa..
...Mzungu wako huyu hapa!mtunzi mwenyewe mzungu..hahaha
Walioididimiza na wanaoendelea kuididimiza Afrika ni Waafrika wenyewe.
Tuache kuwasingizia wengine!
Nakubaliana na baadhi ya uliyosema lakini hakuna suala la kuwaonea wivu wazungu. Lililopo tunapaswa kuwanyanyapaa kwa mbinu zao chafu za kutaka kuendelea kutunyonya. Historia inatudhihirishia hila za Wazungu tangu walivyoanza kuja barani mwetu hadi Leo. Walikuja wakaanza kutuibia rasulimali zetu na kwenda kujenga nchi zao kwa Mali zetu. Tulipowastukia na kuanza harakati za kudai Uhuru waliondoka kwa shingo upande. Kwa kuwa walishatusoma ujuha wetu wa kutaka tuwe kama wao tuishi maisha ambayo hayalingani na hali halisi ya nchi zetu ambazo bado hazijaendelea wameweza kututeka na kutufanya tuendelee kuwa tegemezi kwao. Wakati huo huo wao wakiendeleza kutunyonya kwa mlango wa nyuma wa uwekezaji, soko huria na misaada yenye masharti. Imefika mahali wapo Watanzania ama Waafrika kwa ujumla wanaoamini hatuwezi kuishi bila misaada ama bila kuwasikiliza na kuwakubalia kila wasemalo kana kwamba sisi wenyewe hatuna uwezo na akili za kupanga mambo yenye manufaa kwetu. Akitokea kiongozi mwenye mawazo mazuri ya kimaendeleo badala ya kukubali kumsaidia ili taifa lisonge mbele tunaanza kutafuta kumkwamisha kwa maneno na vitendo. Ndio maana tukaambiwa Miafrika ndivyo tulivyo!Watanzania tuache kuwaonea wivu nchi zilizoendelea. Sizitaki mbichi hizi haitakaa itusaidie. Tu maskini kwa kuwa hatutumii ipasavyo raslimali zetu kama vile maliasili, watu tulio nao kwenye taifa. Vijana wanazurura, wanavuta unga na bangi, hawafayi kazi za uzalishaji japo wana nguvu. Technology hatuna ya kubadilisha tulivyo navyo kuwa mali. Tunawasingizia wazungu kwa umaskini tulio nao. Kuna mikoa ambayo wazungu hawakufika kabisa je ni matajiri? Walishatuachia nchi miaka 55 iliyopita. Tena nadiriki kusema wasingekuja wazungu nchi hii tungekuwa na hali mbaya kama wahazabe.
OK OK Ethiopia haikutawaliwa na wakoloni, mbona ni miongoni kwa nchi maskini duniani? Wahazabe wa kule manyara na Singida hawa kumuona mzungu kabisa wana maendeleo gani?Nakubaliana na baadhi ya uliyosema lakini hakuna suala la kuwaonea wivu wazungu. Lililopo tunapaswa kuwanyanyapaa kwa mbinu zao chafu za kutaka kuendelea kutunyonya. Historia inatudhihirishia hila za Wazungu tangu walivyoanza kuja barani mwetu hadi Leo. Walikuja wakaanza kutuibia rasulimali zetu na kwenda kujenga nchi zao kwa Mali zetu. Tulipowastukia na kuanza harakati za kudai Uhuru waliondoka kwa shingo upande. Kwa kuwa walishatusoma ujuha wetu wa kutaka tuwe kama wao tuishi maisha ambayo hayalingani na hali halisi ya nchi zetu ambazo bado hazijaendelea wameweza kututeka na kutufanya tuendelee kuwa tegemezi kwao. Wakati huo huo wao wakiendeleza kutunyonya kwa mlango wa nyuma wa uwekezaji, soko huria na misaada yenye masharti. Imefika mahali wapo Watanzania ama Waafrika kwa ujumla wanaoamini hatuwezi kuishi bila misaada ama bila kuwasikiliza na kuwakubalia kila wasemalo kana kwamba sisi wenyewe hatuna uwezo na akili za kupanga mambo yenye manufaa kwetu. Akitokea kiongozi mwenye mawazo mazuri ya kimaendeleo badala ya kukubali kumsaidia ili taifa lisonge mbele tunaanza kutafuta kumkwamisha kwa maneno na vitendo. Ndio maana tukaambiwa Miafrika ndivyo tulivyo!
Huwezi ku-underestimate madhara ya ukoloni, SAP policies, foreign aid, na utandawazi (hasa kwenye kipengele cha soko huria) kwa muafrika. Ndio kuna sababu za ndani ila za nje pia ndio Mzizi wa matatizo yetu yaliyo mengi.
Ni mzungu tu tena asiye na fikra huru na Yule anayelinda maslahi ya tabaka tawala la nchi yake anayeweza kuandika ulichoandika.
Ni kweli waafrika tuna sehemu yetu kwenye kusababisha matatizo yetu ila mzungu hawezi kukwepa lawama hizi.
Wengi vijana ni wa miaka ya tisini.View attachment 333820
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
View attachment 333824
View attachment 333820
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
View attachment 333824
Hicho kitabu kimeandikwa leo?Siku zote hamkukisoma,mmekisoma leo 7bu ya MCC?View attachment 333820
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
View attachment 333824