How Does A Single Father explain to his daughter about Breast,Bras,Tampons & Periods? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How Does A Single Father explain to his daughter about Breast,Bras,Tampons & Periods?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Jul 16, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [HR][/HR] How Does A Single Father explain to his daughter about Breast,Bras,Tampons & Periods?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  unampeleka kwa mama anayejiheshimu wa jiran amwambie
  unampeleka kwa aunt yake
   
 3. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  so are you a gay dad now too?

  +10 to Rose1980 for good advice
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimegombana na aunt zake, na majirani siwaamini
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ikiwa wewe baba unayajua hayo, utashindwaje kumweleza? Hivi shuleni hakuna walimu wa kiume wanaofundisha somo la biolojia linalogusia mada hizo? Kuwa mwalimu wake.

  Na mtoto wako wa kiume baleghe, je, utashindwa pia kumweleza matumizi na umuhimu wa kondom, VVU/UKIMWI, maradhi ya zinaa, mimba zisizotakiwa?

  Kama mzazi, bila ya kujali kama wewe ni baba au mama, ukishindwa kuyafanya hayo uelewe kuwa huko nje kuna walimu (mashoga namarafiki zao wabaya) ambao wanaweza kuwapotoa watoto wako.
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe Rose1980, By the way, kwenu huyo mtoto hana mama mkubwa au mdogo mpaka baba afanye hiyo kazi?? Inamhusu nini baba kuyazungumza yote hayo kwa bintiye? Mbona kama napata mashaka ....
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Kaka mazingira yanatofautiana,hapa ninapoishi kuna jamaa anaishi yeye na binti yake bahati mbaya mama wa huyo binti ameshatangulia mbele ya haki,ikaja siku binti akaja kwa baba yake anamuambia baba ona ninatoka damu hapa(bleeding) na hakuna mama mdogo wala shangazi karibu....
   
 8. L

  Luluka JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah!ngumu hiyo!ndo ujifunze kuishi na watu vizuri,yani unagombana na ndugu zako mpaka unakosa hata wa kumuomba msaada!lol
   
 9. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Boflo, ask one of your close female friends to do it. i assume you have a few female BFFs you can trust. most of us do anyway. sorry about my 1st post, I was moody when i wrote it :<
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  nenda shulen kwao kamwombe mwalimu mmoja amwelekeze
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kama huna ujasiri wa kumweleza hata bibi yake hayupo?
   
 12. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  It is possible kumwambia wewe mwenye. It is just kuvaa ujasiri na kujua kuwa she is your responsibility.
  Nina rafiki yangu, mama yao aliwaacha wakiwa katika teen age, wakiwa hawajavunja ungo akaenda zake Ulaya. So walishi na baba yao tu, na ndiye aliyewafundisha kuna kuvunja ungo na muda ulipofika aliwaelekeza cha kufanya na pads akawa anawanunulia. Na ndo alikuwa anawafundisha mambo mbali mbali regarding ukuaji.
  Na hadi leo wanamrespect na kumshukuru sana baba yao na ni wakubwa sasa na familia zao.
  Mama yao hakuwahi kurudi hadi leo.
  So take your reponsibility kaka.
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Muombe girl friend wako amwambie. Alternatively nunua vitabu umpe asome... kutakuwa hakuna hata haja ya kumfundisha kwani tatajua in advance mabadiliko ya mwili wake. Pia uwe unampa ela ya matumizi ili aweze nunua pedi pale anapohitaji.

  Ila nikwambie kitu... usidhani kuwa wote tulolelewa na mama tulipata hayo mafunzo. Mimi mama yangu alikuwa very distant lakini nilimake it in life kwa maana kuwa sikuharibikiwa. Kuwa karibu na wanao kama baba yetu alivyokuwa anafanya. Hata ungekuwa na mama yake si guarantee angekuwa anamuelimisha.
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Mlete kwangu weekend hii niongee naye! Au nami tumegombana?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, mnaishi laboratory wa wapi? Iko too much of a lab experment.
   
 16. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  hii ni kwa sababu ya maisha ya ukoloni tuliyoyazoea. Baba au kaka unamwogopa kama kituo cha polisi ambacho msangi yupo.!! Inahitaji corage na kujiamini kama mzazi na binti pia. Wadogo zangu wa kike huwa nawafunda mwenyewe mpaka mama ananikubali. Mpaka sasa hivi akikutana na kitu tofauti na mambo ya uanamke anakuwa huru kunieleza. Inahitaji kumzoesha asione kama dhambi kuzungumzia mambo hayo ili awe huru kuongea. Inabidi uwe umemzoesha kwenye majadiliano ya vitu vidogo vidogo kwanza akuone kama mtu wa karibu kwake. Hao majirani watamharibu na hatapata elimu iliyo wazi kwani ataogopa kuwaeleza mambo yake watawaambia watu wengine. Its hard kwa baba lakini inakubidi uvae koti la baba-rafiki.
   
Loading...