Pole sana ndugu yangu. 7 na 16 naelewa maana
yule binti kakuingiza mjini, by the front door!
but hiyo 5... rudi skype basi unambie. 🙂
Nina mpenzi, serious this time, sio vya utani7........ in love na nani? Funguka mwali isije ikawa na bishanga.
Nina mpenzi, serious this time, sio vya utani
ndio maana kaka yangu Kambaku feels jealous
yupo humu humu JF, ingawa hatujakutana humu.
atajitambulisha atakapo kua comfortable.
wewe mbona hujasema unajiskiaje usiku huu?
Hongera, you seem to be in a very good period.
lahaulah wallah quattah! Audhubilah! unabisha wewe sio kaka yangu?Ishia hapo hapo! Mi sio kaka yako, nimefilisika kidogo kwa sasa nimegeuka kaka yako sio?
Umesha silimu? Umeongeza asilimia kumi ghafla!
Najisikia nna ham ya tendo la ndoa.....Nina mpenzi, serious this time, sio vya utani
ndio maana kaka yangu Kambaku feels jealous
yupo humu humu JF, ingawa hatujakutana humu.
atajitambulisha atakapo kua comfortable.
wewe mbona hujasema unajiskiaje usiku huu?
Ishia hapo hapo! Mi sio kaka yako, nimefilisika kidogo kwa sasa nimegeuka kaka yako sio?
Nna ham ya tendo la ndoa.....
Leo umechanganya na nini?