How Do i Stop Being Unfaithful To My Wife?

How Do i Stop Being Unfaithful To My Wife?

Plagiarism ni tatizo sana humu MMU.

Mtu unajulikana huna Kiingereza kizuri cha kutosha, unanyakua maandiko ya wengine huko yaliyo katika lugha hiyo na kuja kuyaweka hapa bila bila kuweka wazi ulikoyatoa, watu wanabaki na taswira ya labda wewe ndiyo mwandishi kumbe siye.

Najua Kiingereza kwenye akili za wengi kinaongeza hadhi lakini si vizuri hata kidogo kuiba maandiko ya wengine na kuyafanya kama vile ni ya kwako! Ni uungwana na vyema kutaja ulipoyatoa.
 
Some people ignore this thread by simple words but believe me, this problem is very serious and common to majority of husband. Kwa JF married dadas take this seriously because even your partner might be in this trap but you are not aware.
 
Wanao wanamiss kubebwa mgongoni!

hahahahahha! waambie aunt atakuja kuwabeba waandae tu mbeleko mweeeh!
hivi umemwambia baba Njenje kwamba mwanangu anataka amchumbie Kulwa??\
asione nina jitihada za kubeba mmgongoni akadhani ni ofa mwambie hapana hapo lazima kifua chuma mmoja ajipatiepo mke sasa ole wake awakimbizie kwa wakalenjini tutaandamana wallah!!
 
nimemwambia je akimkuta mke wake ndo anamfanyia hivyo atafanyaje
anasema he dont know if he can stand it,
kuna time alijaribu lakin akajikuta anacheat tena....,is it something natural for men to cheat

am not sure......hapo penye rangi ya msimbazi..... nahisi kama mnataka kuihalalisha vileeee...
 
hahahahahha! waambie aunt atakuja kuwabeba waandae tu mbeleko mweeeh!
hivi umemwambia baba Njenje kwamba mwanangu anataka amchumbie Kulwa??\
asione nina jitihada za kubeba mmgongoni akadhani ni ofa mwambie hapana hapo lazima kifua chuma mmoja ajipatiepo mke sasa ole wake awakimbizie kwa wakalenjini tutaandamana wallah!!
uwiiiiiiiiiii na anvyoringa nao! ni balaa nakwambia! ndio roho zake nakwambia, mzima lakini mkwe?? uje bana, tutafutane japo kwa zanzi moko! looool!
 
Back
Top Bottom