Ila kweli hapa Diana hapa alichetuka kidogo...uolewe na mmisri,?tena mwarabu? Top of that mwislam?...
Impossible, kifo kilimhusu asee..
Siku chache yeye na Dodi walishashtukia mchezo wa kuuwawa ila ndo wangefanyaje?!...too bad
Kwenye issue za celebrity hasa wa ulaya uko vizuri sana asee !!!!