Jux
Senior Member
- Aug 5, 2011
- 114
- 57
][JFMP3][/JFMP3]Pole sana mamiii....! Ninavyoamini mimi ni kwamba kambi zingine zote zinaweza kuvunjwa kwa amani na zikavunjika milele...! Lakini sio kambi ya mapenzi...! Hivyo, inaonekana kambi yenu mliivunja kwa amani mkiamini kuwa inawezekana, na sasa uhalisia unakushinda....! Wahenga walisema usinyee kambi, lakini sio ya mapenzi...! Makosa uliyoyafanya ni haya;
Kwa mtazamo wangu waweza kufanya yafuatayo;
- kuachana na boyfriend wako kwa amani, na hata kama mlikorofishana kidogo basi mlisuluhisha na wewe aidha ukatoa msamaha wa dhati, au ukadhani umesamehewa kwa dhati....!
- Ulisahau kuwa kila wakati unapotaka kuhamia kambi mpya, ni lazima umalize kuijenga kambi hiyo kabla ya kuibomoa kambi ya sasa....! Hivyo, wewe uliridhia kuachana na mwenzio wakati wewe bado hujajua unakoenda....!
- Vinginevyo, ulishindwa kusoma alama za nyakati kuelekea kuachana kwenu....!
- Tengeneza mazingira ya kugombana na ex-wako. Ni lazima utokee ugomvi usiosuluhishika katika maisha yenu ya hisia za mapenzi....!
- Jaribu kuwa na "Peace of Mind" na uridhie kuwa wa pili....!
[/JFMP3]All the best.......!
Masaki si juzi tu hapa? au nachanganya madawa? mara hii umeshasahau?ila ushauri uliompa ni wa kweli na unasaidia, kwanza amsamehe ndio ataweza kumtoa moyoni, la sivyo ataendelea kumlaumu na kujilaumu kwa nini alihama mji kwa nini kibao, jipe moyo utafika tu, tena jichanganye ,nenda out na mashosti, ukifikia muda wa kuddate usione shida date tu mpaka utakutana na mwenza wa maishaI feel you. Mimi kuna sehemu nilikuwa sifiki kabisa kwa kuwa ilikuwa inanikumbusha maumivu. Lakini baada ya kusamehe na kusahau nakwenda muda wowote ule kwa sasa.
Time is the best healer. With time utazoea tu na kuona ni hali ya kawaida.
Masaki si juzi tu hapa? au nachanganya madawa? mara hii umeshasahau?ila ushauri uliompa ni wa kweli na unasaidia, kwanza amsamehe ndio ataweza kumtoa moyoni, la sivyo ataendelea kumlaumu na kujilaumu kwa nini alihama mji kwa nini kibao, jipe moyo utafika tu, tena jichanganye ,nenda out na mashosti, ukifikia muda wa kuddate usione shida date tu mpaka utakutana na mwenza wa maisha
Aliyekuwa boyfriend kaoa tokea January this year, lakini nimeshindwa kuabsorb hii hali, mbaya zaidi tunaishi mji mmoja so mara nyingi namuona. Wadau kama ilishawahi kukutokea, ulichukua hatua gani kuiona ni ya kawaida. Najua maisha lazima yaendelee lakini duh, roho inauma jamani, the thing is haunting me badly.
Ama kweli JF ni kila kitu, siamini kama mimi ndio nilitoa hii thread kuomba ushauri. Ni mwaka sasa na nimeshasahau maumivu yote na sasa naendelea na maisha yangu kama kawaida. Asanteni wote kwa ushauri wenu
mawasilino nilishakata sihitaji tena,namba ya simu ipo kichwani kuifuta sitaweza, maeneo yote tuliyokuwa tunaenda nayaepuka na zaidi anaonekana maeneo hayo na mkewe, hili ndio linalotaka kunitoa roho, kwa kiasi nilichokuwa nampenda naona kama ndio kwanza kaoa jana.