how are you ??

Raha jipe mwenyewe.... Choice wanasemaga "Thursday is the new Friday" lol... Wabongo tunavopenda jirusha!

sjui niseme ndo raha ya Bongo...
saa yeyote muda wowote ukijisikia
kujirusha na kujifurahisaha milango iko wazi..

Na huko kwa watu sana sana ni weekend tu..
labda na holiday ....I like that "Thursday is a new Friday"
 
wao ..
I'm sorry to hear you can't eat ...
try to keep your fluid level up ....
anyway why can't you eat anything ?
Hope your okay though..

Hujanisoma ...... I can eat anything.

Nimeanza na Tomato Pasta Soup, ikifuatiwa na Seafood Risotto
 
Jambo......
Jambo sanaaa......
Habari gani.......
Nzuri sanaaa....
Radio Tanzania yawasalimia....
Katika kipindi cha jamboooo.... Ndugu, wazazi na marafikii......
Katika kipindi cha jamboo.....
 
Hujanisoma ...... I can eat anything.

Nimeanza na Tomato Pasta Soup, ikifuatiwa na Seafood Risotto

oooops my bad ..
samahani ..

since you can eat anything
Karibu kwa Dinner
lasagna (beef) hope you like cheese...
 
Ahsante

Mie Lasagna aaa sina bilisi nayo. Don't know why.....(@_@)

Au ndio uswahili unanihangaisha?

ahhhhhh bana..
mi mpenzi wa lasagna sijui sababu ni rahisi kutengeneza ...

ukitaka kula cheese haswa.. huwa wapenda kutengeneza nini??
 
Jambo......
Jambo sanaaa......
Habari gani.......
Nzuri sanaaa....
Radio Tanzania yawasalimia....
Katika kipindi cha jamboooo.... Ndugu, wazazi na marafikii......
Katika kipindi cha jamboo.....

Mwita umepata jina??
 
mimi super sasa tangu nisikie toka kwako hahah..
and i hope you will stay that way .... ..
naona wazidi ku meremeta tu ....

nimeamua kujipendezea zangu....si unajua mwezi huu ni ule wa mimi na wewe kwenda swimming....
 
Lol! Afadhali umenichekesha sasa niko supa dupa! Usipotee sana basi
King'ast mayi dia, ningependa kukuona supa
King'ast kama dia, kwa mikwara na ma pupa
King'ast asilimia mia, jukwaani supa dupa
King'ast aweka nia, kote kote papa uka....

sasa bibi mzuri unanivizia
wakati ubongo umelala..
duuuhhhh..
Hujambo lakini??
 
ahhhhhh bana..
mi mpenzi wa lasagna sijui sababu ni rahisi kutengeneza ...

ukitaka kula cheese haswa.. huwa wapenda kutengeneza nini??

Mie vyakula kwa mood. Utanisikia leo nataka Moroccan, kesho cha Turkish (my fav), au Italian, Lebanese, Indian, Japanese, ......

Kupika vya kula visivyo na asili ya Tanzania sana ni vya ki Morocco au vya Kiitaliano.

Siunajua Tajin au Pasta upishi wake mwepesi :]]
 
nimefurahi kukuona nawe pia...
sasa hiyo simu umewahi kuiweka chini kweli??

Hahahaha
Huwa haiwekwi chini
inaondolewa wakati wa kulala tuu
Ila muda wote wa mchana iko hapo kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano huku kazi zinaendelea
 
nimeamua kujipendezea zangu....si unajua mwezi huu ni ule wa mimi na wewe kwenda swimming....

sasa wewe umependeza hivo dahhh
mi siendi swimming na wewe..
we upige bikini, mi ni vae huu
mjinsi wangu na jacketi kwenye beach..
haikubaliki hahah lol
 
Lol! Afadhali umenichekesha sasa niko supa dupa! Usipotee sana basi
ntajaribu kuto kupoa sana lol..

siku nyingine nipe dakika 5 safi
nikuandikie poem zuri hahahah lol

nimefuraahi kusikia umecheka lol
 
Mie vyakula kwa mood. Utanisikia leo nataka Moroccan, kesho cha Turkish (my fav), au Italian, Lebanon, Indian, Japanese, ......

Kupika vya kula visivyo na asili ya Tanzania sana ni vya ki Morocco au vya Kiitaliano.

Siunajua Tajin au Pasta upishi wake mwepesi :]]

dahhhh yaelekea kwenye idara ya vyakula upo mami safi...
mi ukinipeleka huko morroco au Turki napenda kababs .
sababu usema ukweli sija experience kupika vyakula vyao sana
bali kula hotelini hapa na pale tu...napenda tacos (Mexico) quick fix ..
itabidi unipe shule kidoncho hahah lol
 
Hahahaha
Huwa haiwekwi chini
inaondolewa wakati wa kulala tuu
Ila muda wote wa mchana iko hapo kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano huku kazi zinaendelea

hahahahah hilo sikio duuhhh
nalione huruma kwa kweli..
na hiyo rubber band haikatii mishipa ya damu kweli ??
 
Back
Top Bottom