how are you ??

how are you ??

habari yenu mabibi na mabwana...kidumu chama cha makapela&maseja...asanteni sana.bila kupoteza wakati naomba kila mmoja angaalie balance yake mfukoni...amusha hisia zako...bila shaka ushajua una hamu ya kula chakula gani..basi ndugu zangu mimi nawatakia mlo mwema na kila mmoja wenu aenjoy atakavyo.mwenzenu leo nilichelewa kunywa supu so njaa haijauma.
Mungu wangu awabariki mtokako na muendako.asanteni kwa kunisoma.MIA
 
Mie niko poa kbs mamito,habari yako binafsi...............,hope haina majotrooo!
 
habari yenu mabibi na mabwana...kidumu chama cha makapela&maseja...asanteni sana.bila kupoteza wakati naomba kila mmoja angaalie balance yake mfukoni...amusha hisia zako...bila shaka ushajua una hamu ya kula chakula gani..basi ndugu zangu mimi nawatakia mlo mwema na kila mmoja wenu aenjoy atakavyo.mwenzenu leo nilichelewa kunywa supu so njaa haijauma.
Mungu wangu awabariki mtokako na muendako.asanteni kwa kunisoma.MIA

Figganigga
asante kwa baraka mkuu..
zikurudie nawe pia..

supu leo joto sana kwa supu...
ila kama unataka bia moto na kikombe cha kupoozea..
ntakupatia.. nice day..
 
kile cha tembo tembo ili haya
manyama uzembe yasionekane..
sasa saa ngapi tunaenda??

cha tembo tembo eeh......
muda nitakueleza....wanasema mppaka maji yapate moto....ndio wanapasha.....
 
ahhhh atupe hiyo tenda asitupe atajaza bana..
itabidi tuchuue kwa nguvu .. Nadhani ameona
mtiririko hapo juu kutoka Morocco mpaka Mexico...

Boss sema tu wataka nchi gani ..
maana Gaijin yuko tayari ...

tenda itakuja tu.halafu hiyo signature yako' ya akili sana
 
cha tembo tembo eeh......
muda nitakueleza....wanasema mppaka maji yapate moto....ndio wanapasha.....

hahahahahahah lol
haya bana unishtue basi maji yaki chemka...
sasa niandae pic nic au waonaje???
 
tenda itakuja tu.halafu hiyo signature yako' ya akili sana

Dahhhh
sante kwa tenda mkuu..
kweli we ni boss wa kuaminika..
ila bado hujachagua wataka vya nchi gani??
au mix??

dahh asante kwa kupenda signature yangu...
kuna ukweli sana kwenye signature yako pia...
 
Boss lazma tuanze uwanja wa nyumbani, tukituwa pande za Ngazidja kupata uji wa tapo Kabla ya ya kusogea kaskazini mwa Afrique, tukisimama kidogo kwa Al-Bashir kwa ajili ya Mohereyya na Shawarma moja matata sana
 
hahahahahahah lol
haya bana unishtue basi maji yaki chemka...
sasa niandae pic nic au waonaje???

andaa kabisa....tena naona Gaijin ana msaada mkubwa sana hapa.....
ila mi napenda vya Brazil zaidi......
 
Dahhhh
sante kwa tenda mkuu..
kweli we ni boss wa kuaminika..
ila bado hujachagua wataka vya nchi gani??
au mix??

dahh asante kwa kupenda signature yangu...
kuna ukweli sana kwenye signature yako pia...

itakuwa mix ya kuanzia home kama Gee alivyosema hapo...
 
Just the other day nilikula mchuzi wa nyama ya ngamia

Sasa bado ya tembo....au hailiwi? ⊂((・x&#12539😉)⊃
 
Ulipotelea wapi tena AD? Tumekunyima mengi humu ndani, we acha tu.
 
Just the other day nilikula mchuzi wa nyama ya ngamia

Sasa bado ya tembo....au hailiwi? ⊂((・x&#12539😉)⊃

wanasema Tembo wana ladha za nyama zote,
unweza pata kuku,mbuzi,kondoo,ng'ombe na kadhalika,sijui for sure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom