masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,567
- 20,118
Humu jf tunaogopeshana kila kukicha jamani tuoneane huruma basi
yaani mimi nawaza sana nitamleaje mtoto na kufanya mambo yangu bila hausg
shuhuda za humu jf ni hatari eee mola
yaani mimi nawaza sana nitamleaje mtoto na kufanya mambo yangu bila hausg
shuhuda za humu jf ni hatari eee mola