Houseboy

Status
Not open for further replies.

Desidii

JF-Expert Member
Oct 2, 2007
1,201
86
JF habari zenu!!

Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.

Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!

Nimechanganyikiwa sijwamwambia Husband. Najifikiria nimtafutie visa ili aondoke ama nifanyaje maana nikisema aondoke bila sababu husband atauliza sababu nini nini na nitapata kigugumizi.

Nisaidieni tafadhali
 
Kama unataka test malavi ya houseboy mkubarie tu mbona Wababa wanawatakaga mahouse girl?
 
JF habari zenu!!

Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.

Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!

Nimechanganyikiwa sijwamwambia Husband. Najifikiria nimtafutie visa ili aondoke ama nifanyaje maana nikisema aondoke bila sababu husband atauliza sababu nini nini na nitapata kigugumizi.

Nisaidieni tafadhali
Hujafanya kosa.... kwanini uogope wewe mfukuze Husband akiuliza unasema alikuwa hafai.. simple
 
Pole sana Desidii,

Naona hayo ni makubwa! Hata hivyo kuna mambo mengi ya kujiuliza. Je, uliwahi umekuwa karibu naye sana kiasi cha kuona kama huna noma? Umemzoea kiasi hicho hadi hakuogopi na kukuheshimu kama boss wake?

Na baada ya kukueleza hayo mambo yake ulimjibu nini?

Nitarudi baadaye nikishapa glucose ya kutosha. Leo naona babu anapatwa na kizungu zungu!
 
Kitendo cha kujipa nafasi tu na kukalia jambo hilo bila kulifanyia kazi ni kwamba una hisia nae...!..
You have the world of chance to enjoy with him, lakini jua ukigundulika ni kwa mama na baba yako ukiwa na dental formula ya tofauti na ya sasa!
 
Mazoea naye sina kwa sana kivile lakini alikuwa akinieleza issue za mkewe kuwa na wanaume nje anataka amuache sasa katika kumshauri ndo akaingiza hiyo mada
 
Yaani mie hata mpango nae sina mume wangu mbona yuko poa sana na tunapendana mno siwezi kumtenda kwa ajili ya houseboy
 
Ha kumbe ana mke!! mweleze mumeo.
 
mh! Kwn hapo ttzo nn jaman? Au mm ndo cjaelewa, umestaajab kw vle ni h'boy au? Ina mana hujawah tongozw tka uolewe? Mbna hao wngne hu2uliz? H'boy pia ni bnadam km huyo mumeo soacha dharau
 
Yaani mie hata mpango nae sina mume wangu mbona yuko poa sana na tunapendana mno siwezi kumtenda kwa ajili ya houseboy
Amekuona kuwa unakaa kihasarahasara fulani mbele yake...
Kijana kama huyo hawezi kujianzia from nowhere akusemeshe neno kama hilo...
Aidha anajua unapendelea sana mambo ya ngono au kuangalia porno openly na huenda story zako muda wote zinaelekeana kunako maeneo!
 
Mazoea naye sina kwa sana kivile lakini alikuwa akinieleza issue za mkewe kuwa na wanaume nje anataka amuache sasa katika kumshauri ndo akaingiza hiyo mada
STUKA! hapo red hilo ni tego tu ambalo wanaume wengi tunalitumia, tunajua nyinyi wadada mnapenda stori za namna hiyo na mnapataga huruma mkihadisiwa. ndo maana mnapenda mamichezo ya kihindi na matamsilia ya isidingo. ripoti hiyo hauziboy haraka sana kabla haijakubaka.
 
mh! Kwn hapo ttzo nn jaman? Au mm ndo cjaelewa, umestaajab kw vle ni h'boy au? Ina mana hujawah tongozw tka uolewe? Mbna hao wngne hu2uliz? H'boy pia ni bnadam km huyo mumeo soacha dharau

Sio dharau ila nimeshangazwa na ujasiri wake lakini wewe Sweetlady mbona unakuwa mkali leo jumapili?? Pole kama nimekuudhi kumtaja houseboy!!!!
 
Mazoea naye sina kwa sana kivile lakini alikuwa akinieleza issue za mkewe kuwa na wanaume nje anataka amuache sasa katika kumshauri ndo akaingiza hiyo mada

Hayo ndiyo mazoea niliyoyasema. Kama hukuwa na maana nyingine zaidi ya kusikiliza shida zake basi ulitakiwa kumtolea uvivu dakika ile tu alipokueleza. Kitendo cha kusubiri hadi sasa hujachukua hatua kitamfanya hata mumeo akune kichwa. Hata hivyo huna jinsi..kama umekereka chukua hatua za kumweleza mumeo na kumfukuza kazi huyo jamaa mara moja. Ila uwe mwanalifu kwani anaweza kusema kuwa wewe ndo unamtaka.

Una ka tatizo kadogo hapo ila unatakiwa kuchukua hatua haraka sana. Delays ni green light kwa houseboy!
 
nimekugongea BIG THANKS!!
Amekuona kuwa unakaa kihasarahasara fulani mbele yake...
Kijana kama huyo hawezi kujianzia from nowhere akusemeshe neno kama hilo...
Aidha anajua unapendelea sana mambo ya ngono au kuangalia porno openly na huenda story zako muda wote zinaelekeana kunako maeneo!
 
Amekuona kuwa unakaa kihasarahasara fulani mbele yake...
Kijana kama huyo hawezi kujianzia from nowhere akusemeshe neno kama hilo...
Aidha anajua unapendelea sana mambo ya ngono au kuangalia porno openly na huenda story zako muda wote zinaelekeana kunako maeneo!

Sijawahi ongea nae kuhusu ngono hata siku moja na wala time nae sina kivile nikitoka usiku nikirudi usiku zaidi ya kuuliza kuku, ng'ombe, mbuzi wanaendelaje sina kingine
 
STUKA! hapo red hilo ni tego tu ambalo wanaume wengi tunalitumia, tunajua nyinyi wadada mnapenda stori za namna hiyo na mnapataga huruma mkihadisiwa. ndo maana mnapenda mamichezo ya kihindi na matamsilia ya isidingo. ripoti hiyo hauziboy haraka sana kabla haijakubaka.

Umeongea kweli tupu. Thanks
 
sio kwel. Kuna k2 umemfanyia akaona huna heshima so kaamua kumalzia kwa kuktongoza. Mpe 2 yaishe.
Sijawahi ongea nae kuhusu ngono hata siku moja na wala time nae sina kivile nikitoka usiku nikirudi usiku zaidi ya kuuliza kuku, ng'ombe, mbuzi wanaendelaje sina kingine
 
STUKA! hapo red hilo ni tego tu ambalo wanaume wengi tunalitumia, tunajua nyinyi wadada mnapenda stori za namna hiyo na mnapataga huruma mkihadisiwa. ndo maana mnapenda mamichezo ya kihindi na matamsilia ya isidingo. ripoti hiyo hauziboy haraka sana kabla haijakubaka.

nikikukamata wewe.......
 
Mazoea naye sina kwa sana kivile lakini alikuwa akinieleza issue za mkewe kuwa na wanaume nje anataka amuache sasa katika kumshauri ndo akaingiza hiyo mada

Sasa nimeelewa kitu kimoja. Mwanamme akikuanzia issue ya mke mwisho anakugeuzia kibao.

Yaliwahi kunifika kama hayo unayoeleza ila huyo jamaa alikuwa msomi na kazi yake nzuri.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom