Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,185
- 12,332
Wakuu mimi mambo ya NRNE au sijui vita vya iran na israel hayanihusu.
Kuna muda huwa nadhan mimi chimbuko langu ni walatini sababu likija swala la starehe ninastareheka haswa, dont get it wrong kwenye kazi nafanya kazi haswa. I'm just someone who once am set up to do something I do it to the fullest, be it work, fun, s3x, you name it.....
Leo usiku huu nmepata idea kuanzisha uzi maalum wa kupeana update za house parties. Juzi tulikua na house party lakini kukawa na upungufu wa watu, swala lililopelekea party kutonoga.
Hivyo kama ukiwa na houseparty, njoo hapa utujulishe pamoja na kiingilio kisha wanaoweza waje kuburudika pamoja.
Madame B mzabzab Half american KENZY Mshana Jr Lamomy Leejay49 cocastic Nifah na wengineo iwafikie